Ajira TZ

Oneya Fuko

Member
Apr 7, 2011
24
2
Kama tumefikia Hatua Hii nadhani tumevuka mpaka.

Nadhani Kuwa ipo siku mtu atatakiwa kutakiwa kupeleka vyeti vya D.N.A kwenye interview. this is invasion of Privacy.


Assistant Researcher Job in Dar Es Salaam, Tanzania


Assistant Researcher
Consolatha Consultants ( Tz ) LTD.
Date Listed: Oct 8, 2012
Email Address: Click to Email
Phone: +255 712 224 139
Area: Dar Es Salaam
Application Deadline: Oct 16, 2012
Start Date: Nov 01, 2012

Position Description:

Anahitajika ASSISTANT RESEACHER mwenye sifa zifuatazo :
1. Awe wa jinsia ya KIKE mwenye umri wa miaka 20 hadi 45.
2. Elimu Ya Kidato Cha Sita na kuendelea.
3. Uwezo wa kuwasiliana kwa ufasaha kwa lugha za kiswahili na kiingereza.
4. Awe amewahi kuwa katika mahusiano ya kimapenzi ya jinsia moja na kupatwa na madhara AU
5. Awe mwanamke ambaye yupo ndani ya mahusiano ya jinsia moja, yupo addicted na mahusiano ya jinsia moja na anatamani sana kuondokana na tabia hiyo ila anashindwa.
5. Awe tayari kusafiri sehemu yoyote Tanzania.


naombeni maoni yenu wanajamii forum
 
vigezo na masharti kuzingatiwa inafika mahala unaambia onyesha na nyeti zako
 
Labda wanahitaji kufanya research kuhusiana na mapenzi ya jinsia moja, ndio maana wakahitaji mtu ambae ameshajihusisha na mapenzi hayo ili kurahisisha upatikanaji wa data .
 
Wana JF wenzangu pls niabalisheni kama nafasi za access bank mwanza wanaendelea kutuma cv cos nimeona bango late pls and pls nami nitume
 
hakuna shida yoyote hapo ufanisi wa kazi munahitaji vigezo
na uzoefu
 
Kufanya tafiti inategemea na uwezo na taaluma yako, sio lazima uwe muhanga wa sehemu ya tafiti ili uweze kuifanya.Labda wanasabau zao zilizojificha
 
Nadhani hivyo ni vigezo vyao japo si lazima wanaotakiwa wawe wanapractice, japo italeta ufanisi zaidi, sio wakuu?
 
Back
Top Bottom