ajira tatizo

korino

JF-Expert Member
Dec 6, 2011
1,004
659
habari zenu ndugu zangu! nahisi kukata tamaa na swala la kutafta kazi jamani...so tired! ooh!
 
Dah!!huyu jamaa anachekesha walionuna yaani umemaliza juzi tu,unaanza kukata tamaa,watu tuko benchi tangu 2008,hii ndio bongo tulia bwana mdogo atleast mwaka hivi
 
dont loose hope my dear, that is life keep on looking, if possible move door to door office asking 4 a job in if ua serious within month u gona get it bt believe every thing is possible if ua trying, n dont 4get 2 give God 1 priority so as he can make things easy
 
thax so much jaman..realy apreciate ur advices!
 
aaaaahhhhh kaka ndio umemaliza juzi tuu hata vyeti bado, hata kijasho cha chuo hakijaisha, aaah kua na subira bana kaka, ila kama huna mtu wa kukushika mkono akakupa mchongo kiukweli utasubiri sanaaaaaaaaaaaaaaaaa. ila omba mungu sana na tuma application kama chizi vile
 
aisee nikifilia hapo natamani hata niendelee kubaki chuo.ila kutokata tamaa ni siri ya mafanikio.
 
Jamani mpendwa acha kufuru sisi kaka zako na dada zako tupo miaka sasa bila mafanikio na hatukati tamaa kikubwa usiwe mbinafsi
kupeana info na wenzio kwani ajira ni bahati ya mtu. usikate tamaa hata kidogo na pale unapokiri udhaifu wako shetani ndipo anapata chance. kama vipi kwenu mnaweza usome mastaz coz sisi kuna watu walisema kazi kwanza wengine wakaenda Ms wamerud wakatukuta tunauza nyago mtaani na sasa tunaitwa wazululaji. Mbayaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
muda uliokaa mtaani ni mchache sana na bado hujapigika angalau kaa miaka miwili ujifunze ubaili na heshima ya pesa ndio tukupe zamana kwanza umemaliza chuo gan?na una gpa ya ngapi?
 
Nyamaza, Ukilia utawaliza wengine maana wewe ni mwaka miezi unajua wengine tunazeekea ktk kutafuta ajira na mainterview kibao bado tunamatumaini iweje wewe? ndugu yangu usiogope kucheza hata ligi za mchangani kuongeza kiwango na experience hapo ndipo watu watakuona kisha utatoka tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom