Ajira tanzania police force, diploma na digrii

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by soam, May 30, 2013.

 1. s

  soam Senior Member

  #1
  May 30, 2013
  Joined: Jan 23, 2013
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 2. M

  MAKAH JF-Expert Member

  #2
  May 30, 2013
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 1,608
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 3. Iyokopokomayoko

  Iyokopokomayoko JF-Expert Member

  #3
  May 30, 2013
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 1,819
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Bandwidth Limit Exceeded

  The server is temporarily unable to service your request due to the site owner reaching his/her bandwidth limit. Please try again later.
  Apache/2.2.24 (Unix) mod_ssl/2.2.24 OpenSSL/1.0.0-fips DAV/2 mod_auth_passthrough/2.1 mod_bwlimited/1.4 FrontPage/5.0.2.2635 Server at www.policeforce.go.tz Port 80
   
 4. Gefu

  Gefu JF-Expert Member

  #4
  May 30, 2013
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 6,785
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 38
  ...asante mkuu ila wala siaply,mambo ya kumwa..ngosi watu sitaki..
   
 5. V

  Veroc New Member

  #5
  May 30, 2013
  Joined: Nov 5, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbona haifunguki jamani!eeh............!
   
 6. l

  lazima ukae JF-Expert Member

  #6
  May 30, 2013
  Joined: May 15, 2013
  Messages: 654
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inafunguka na me form ninayo kwenye computer yangu
   
 7. jolson masaki

  jolson masaki JF-Expert Member

  #7
  May 30, 2013
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 156
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  naomba unitumie kwenye e mail ya watanzania kusaidiana jolsonmasaki@gmail.com

   
 8. j

  justine2012 New Member

  #8
  May 30, 2013
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama imefunguka tuwekee nas bro nasisi tufaidike
   
 9. j

  justine2012 New Member

  #9
  May 30, 2013
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wanazingua bana. nhazifunguki wala nn....
   
 10. Jerrymsigwa

  Jerrymsigwa JF-Expert Member

  #10
  May 30, 2013
  Joined: Jun 23, 2012
  Messages: 9,267
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 63
  Nimejaribu hakuna kitu >>Bandwidth limited exceeded
   
 11. AlP0L0

  AlP0L0 JF-Expert Member

  #11
  May 30, 2013
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 2,399
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 48
 12. L

  Larusai Mux JF-Expert Member

  #12
  May 30, 2013
  Joined: Oct 24, 2012
  Messages: 947
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  mkuu naomba unitumie hiyo kwa [email protected]
   
 13. Mwevi

  Mwevi JF-Expert Member

  #13
  May 31, 2013
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 203
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama unayo c uiweke wananzengo waione mwana............................ mambo ya email email email email ndo nn ss.:peep:
   
 14. Makala Jr

  Makala Jr JF-Expert Member

  #14
  May 31, 2013
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 3,397
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mwevi; Jeshi la polisi teknolojia yao ni ndogo haswa kwenye internet!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. BUCHANAGANDE

  BUCHANAGANDE JF-Expert Member

  #15
  May 31, 2013
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 1,384
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  That is KIINI MACHO TU. Sasa kama haifunguki inamaanisha nini wakati deadline inakaribia kwisha?????????????
   
 16. Mwevi

  Mwevi JF-Expert Member

  #16
  May 31, 2013
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 203
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kweli mkuu, yaani users wamewazidi cku mbili hizi hawa jamaa
   
 17. d

  dav22 JF-Expert Member

  #17
  May 31, 2013
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 1,924
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 36
  he he he he he du aisee yaani polisi site kimeo....du
   
 18. W

  Wallace Kapele Mlaga Member

  #18
  May 31, 2013
  Joined: Jan 8, 2013
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sasa hivi site inafunguka. Tangazo linahusu vijana wanaotarajiwa kumaliza masomo yao mwaka huu 2013. Kama ni fomu hiyo nakumbuka ilishawekwa hapa. Pia hilo tangazo lin aeleza matarajio ya polisi kuajiri wahitimu wa kidato cha nne 2012 na kidato cha sita 2013 ambao walijaza fomu kabla ya mitihani yao. Pia linaeleza kuwa usaili kwa vijana waliokuwa JKT NA JKU kwa ajili ya kujiunga na upolisi umekamilika toka mwezi wa nne mawaka huu. Vijana mliopo chuoni wenye shahada zenu na mnaopenda kuwa polisi changamkieni kwani mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 30.6.2013. Maombi hayo yanapaswa kutumwa na mkuu wa chuo husika kwa IGP. Fomu hiyo iliwekwa hapa jamvini.
   
 19. j

  jovylex New Member

  #19
  May 31, 2013
  Joined: May 29, 2013
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pliz,najaribu kufungua inagoma kabisa, tafadhali naomba unitumie hiyo fomu kwenye email .[email protected] mdau
   
 20. o

  option JF-Expert Member

  #20
  May 31, 2013
  Joined: Jan 15, 2013
  Messages: 870
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hebu ni pm na hiyo form
   
 21. Mwevi

  Mwevi JF-Expert Member

  #21
  May 31, 2013
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 203
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  TANZANIA POLICE FORCE
  APPLICATION FORM FOR JOINING THE TANZANIA POLICE FORCE
  YEAR 2013
  PART (A): APPLICANT’S PERSONAL PARTICULARS:
  Applicant’s Full Name: Sex:
  Male Female
  (Date of birth):
  University/College Name: Field of Speciality:
  Registration number:
  Home District and Region: Description of health problem or any physical disability:
  Permanent Address:
  Phone/Mobile No:
  E-mail:
  Date of Acquiring CSEE (Form Four) Date of Acquiring ACSEE (Form Six)
  PART (B): DECLARATION BY THE APPLICANT:
  I declare that the information given above is true and the choice made is of my own decision.
  Signature……………………………………………Date…………………………………….............
  PART (C): CERTIFICATION BY THE UNIVERSITY CHIEF ACADEMIC
  OFFICER/DEAN:
  I certify that the information given by the applicant is correct.
  Name of the Chief Academic Officer/Dean: …………………………………………………………
  Signature: ……………………………………Date…………………………………………………...
  PART (D): FOR OFFICIAL USE ONLY:
  1.Applicant’s Examination Results; 1st Class 2nd Class
  upper
  2nd Class
  Lower
  Pass Failed
  Caution: (i) Please do not fill this form if you have any health or physical disability that may
  prevent you from undertaking Police Course(s)/Work(s).
  (ii) This form should be filled by only finalist candidates under the Academic year
  2012/2013, not otherwise.
  PASS PORT
  SIZE
  kaaaaaz kwel kwel ......... :A S 576::):nod:
   
 22. M

  MBEKOMIZE Member

  #22
  May 31, 2013
  Joined: May 30, 2013
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nawapongeza sana jamiiforums kwa kutupatia taarifa muhimu kama vile nafasi za kazi!
   
 23. jolson masaki

  jolson masaki JF-Expert Member

  #23
  May 31, 2013
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 156
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  TANGAZO LA AJIRAJeshi la Polisi Tanzania katika mwaka wa fedha 2013/2014 litaajiri vijana kutoka katika makundi yafuatayo: waliomaliza kidato cha nne mwaka 2012, kidato cha sita mwaka 2013, JKT/JKU mwaka 2013 na vyuo vya elimu ya juu mwaka 2013.Taratibu zinakamilishwa ili waliomaliza kidato cha nne na sita na waliojaza fomu za maombi kabla ya kumaliza mitihani yao ya mwisho waitwe kwenye usaili. Usaili wa vijana wa JKT umekamilika mapema mwezi Aprili, 2013.Tangazo hili linawaalika vijana walioko kwenye vyuo vya elimu ya juu nchini watakaohitimu masomo hivi karibuni na wanaopenda kujiunga na Jeshi la Polisi kujaza fomu za maombi zinazopatikana kwenye tovuti ya Polisi kwa anuani www.policeforce.go.tz Fomu za waombaji baada ya kujazwa kikamilifu ziletwe na mkuu wa chuo kabla ya tarehe 30/6/2013 kwa:Inspekta Jenerali wa Polisi,Makao Makuu ya Polisi,S.L.P. 9141,DAR ES SALAAM.Fani zinazotakiwa ni; Shahada za Menejimenti ya Rasilimali watu, Utawala, Uchumi, Usimamizi wa Sheria na Utekelezaji(BaLE), Ualimu, Sosholojia, Saikolojia na Ushauri Nasihi(Educational Psychology and Councelling),Takwimu, Lugha(Kiswahili/Kiingereza/Kifaransa/Kireno/Kiarabu), Usimamizi wa Programu za Maendeleo ya Jamii, Uhusiano wa Kimataifa, Uhandisi Mitambo(Mechanical Engineering), Uhandisi Kompyuta(Net Work, System Analyst, Data Base, Electronic & Telecommunications), Uandishi wa Habari, Mawasiliano ya Umma, Upangaji na Uendeshaji miradi, Jinsia na Watoto. Pia stashahada katika Usimamizi wa programu za maendeleo ya Jamii, Utunzaji kumbukumbu na Ukutubi.Sifa za Muombaji:
  • Awe raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
  • Awe na umri usiozidi miaka 28.
  • Awe na tabia njema.
  • Awe hajawahi kushtakiwa kwa kosa la jinai.
  • Awe na afya njema.
  • Awe hajaoa/hajaolewa au kuwa na mtoto.
  • Awe tayari kufanya kazi popote ndani na nje ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
  • Asiwe na alama za kuchora mwilini(Tatuu).
  • Awe hajawahi kutumia madawa ya kulevya na
  • Awe tayari kuhudhuria mafunzo ya Polisi.
  Imetolewa na:Ofisi ya Inspekta Jenerali wa Polisi,Makao Makuu ya Polisi,S.L.P. 9141,DAR ES SALAAM.
   
 24. s

  soam Senior Member

  #24
  Jun 1, 2013
  Joined: Jan 23, 2013
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  form ipo, iko attached kwenye post
   
 25. HEMED SULEEY

  HEMED SULEEY Senior Member

  #25
  Jun 1, 2013
  Joined: Mar 2, 2013
  Messages: 67
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanajamvi wenzangu ninayo hapa form ngoja niweke kila mwanajamvi afaidike na hili, OVER
   
 26. k

  king'asti mimi Member

  #26
  Jun 2, 2013
  Joined: May 29, 2013
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ahsante
   
 27. L

  Larusai Mux JF-Expert Member

  #27
  Jun 3, 2013
  Joined: Oct 24, 2012
  Messages: 947
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  Wakuu mimi nmemaliza 2012 ila nataka kuomba,kupata mhuri wa chuo sio ishu japo nipo mtaani.
  Je kuna viambatanishi km copy za vyeti????
   
 28. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #28
  Jun 3, 2013
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 9,215
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  we mbona mwaka jana hukuapply?
   
 29. ram

  ram JF-Expert Member

  #29
  Jun 4, 2013
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 5,325
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 38
  Mbona inafunguka nie?

   
 30. Aggape

  Aggape Member

  #30
  Aug 28, 2013
  Joined: Aug 25, 2013
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante
   

Share This Page