Ajira pccb

KAKAYAO

Member
Aug 11, 2014
29
1
Wadau vip,hawa jamaa taratibu zao vp za ajira,msaada kwa mdau anaejua ntapataje ajira kwa hawa jamaa.
 
kaka funguka vizuri,hi ni jamiiforum mtu anapoleta hoja anahtaj msaada yakinifu,kama wew uko pazuri jua kuna wenzako wanataabka,tuwe na nyoyo zakizalendo.
 
wataajiri mara ngapi wakati mwaka sasa watu wako training na wengine wamesahaanza kazi
 
Kwa taarifa za karibu kwa hivi sasa hawajatoa ajira maana tayari walitoa mwanzon mwa mwaka na hivi sasa wapo wengi tu wanaendelea na training,nami ni mmoja wa wahitaji na taarifa hizo nilipewa na afisa mmoja wa taasisi hiyo hivi karibuni.
 
Back
Top Bottom