<br />
<br />
mkuu ntambaswala,nami niko tayar kufanya kaz popote,nina BSc in Human Nutrition,nipe dili kaka
Jaribu ku-apply TAHEA for internship! sometimes ni vema kuanza kwa internship au volunteerism ili kuweza kupata uzoefu wa kazi!! u r a professional,it's ok,but u need to learn how to work!
Kaka,umeshindwa hata kupiga pindi mashuleni?? au Biology ilikuwa tia maji-tia maji? kuna kazi kibaooooooooooooo,changamoto uliyonayo ni kuwa unataka highly-paying job! Huwezi kupata 100 bila kuanza na moja,hata mbuyu ulianza kama.............................................................! All the best of lucky