Ajira Mpya Za Walimu 2013

MR.MAMBA

Member
Jan 31, 2013
5
1
Utata Umegubika Ajira Za Walimu 2013 Zilizosemwa Kutangazwa Januari Kama Rais Kikwete Alipoudanganya Umati Huko Kigoma Ktk Uwanja Wa Barafu Pia Waziri Mlugo Nae Akatoa Tamko Kuwa Ni Januari! Wote Hawa Wamelidanganya Taifa.Tuwe Macho Ktk Uchaguzi 2015.
 
CCM HOYEEEEEEEEEEEE! Zidumu fikra za JK na MULUGO.
 
utata umegubika ajira za walimu 2013 zilizosemwa kutangazwa januari kama rais kikwete alipoudanganya umati huko kigoma ktk uwanja wa barafu pia waziri mlugo nae akatoa tamko kuwa ni januari! Wote hawa wamelidanganya taifa.tuwe macho ktk uchaguzi 2015.

kweli lllllllllllllllllllllll
 
Suala linaloiathir mambo ya ajira ni issue ya pesa kutoka hazna kuu, xasa mie najiuliza kuwa nn maana ya bajet, mbona wizara zingine inaposomwa bajet na kupitishwa matumiz yanaanza mara moja. Au fungu la ajira limekopeshwa..!
 
bora serikal wangekuwa waz, coz watu wameacha kaz sehem mbalimbal private schools wakiwa na matumain ya ajira za serikali.
 
Walioacha kaz kabla ya kupata ajira mbadala HAWAFAI KUWA WALIMU coz THEY HAVE LOW THINKING CAPACITY!
 
bora serikal wangekuwa waz, coz watu wameacha kaz sehem mbalimbal private schools wakiwa na matumain ya ajira za serikali.
 
Tatizo hii nchi ishazoea kila kitu siasa! Coz rais anatangaza ajira jan na had wazir wake bila aibu nae anasema jan af hii feb hakuna hata mmoja aliyesema chochote! Na rais wa nchi hayupo sirias kabisa!
Watu tumeacha tangu tar 31 jan mikataba ya pattime ilipoisha huku tukijua kuwa tar 1 feb mambo shwar! Had sasa hatujui kinachoendelea! Najuta kuwa mtanzania!
 
Utata Umegubika Ajira Za Walimu 2013 Zilizosemwa Kutangazwa Januari Kama Rais Kikwete Alipoudanganya Umati Huko Kigoma Ktk Uwanja Wa Barafu Pia Waziri Mlugo Nae Akatoa Tamko Kuwa Ni Januari! Wote Hawa Wamelidanganya Taifa.Tuwe Macho Ktk Uchaguzi 2015.

Chama cha mapinduzi chajenga nchi Kikwetee aaah, Nchemba aaah, nape aaah wajenga nchi
 
Hawa viongozi wanaamua kuudanganya umma kiasi hicho walisahau kama kuna watu wenye njaa wanawasikiliza AJIRA ZA WALIMU LINI JAMANI NA HUU NI MWEZI WA PILI
 
Niliacha kibarua changu private kisa ahadi yao, yaani wametugharimu maana sasa hv hata private wanaringa vibaya
 
Wjamani ndo viongoz wetu hao wanajipendelea tu wao,kama kuna mtu ana mawasiliano ya John mnyika amcheki ili atusaidie kwa hili
 
Mbona kuna mtu kanipigia leo na kuniambia kuwa post elimu (ajira) zimetangazwa leo? Cha ajabu ukijaribu W.Elimu inagoma na kuleta msg kuwa ipo suspended. Kama kuna mwenye taarifa zaidi atujuze na kutupa link
 
alikua anakujoke 2.
 
Back
Top Bottom