Peter Shaban
New Member
- Feb 8, 2013
- 4
- 1
Mawazo mgando Karema
na badooo na tetesi zimekuwa nyingiiiiiiTuna Njaa
We umechanganyiwa, unahtaji maombi
Na njaa haina bausa!Tuna Njaa
wala si kweli mi nijuavyo kuna sifa mbili za kusomea ualimu1:kufail 2:umasikini,hayo uyasemayo unajikosha tu,we kama una akiri timamu mwajiri anakuambia hukuona kazi nyingine nawe umo tu,nina wasiwasi na akili za watu wnaosomea ualimu.
Nani asiyetaka ajira nyie acheni maneno ya kujikweza.hiyo biashara utaifanya kwa mtaji upi wakati hata boom ulikua unatuma nyumbani kulea ndugu zako.waache waalimu waulizie ajira zao.kama haikuhusu piga kimya.
Nani kakuambia msomi haajiriwi? hebu fikiri vizuri...si wote wana lengo la kutafuta pesa kama unavyofikiri, mwingine anapenda profession yeke tu, hata akilipwa sh. laki 1 kwa mwezi.