Naibu waziri wa elimu aliwahi kutamka kwamba hakuna mwalimu mpya yeyote katika ajira hizi ambazo post zake zimetoka juzi atakayepangiwa jiji la D'salaam.
"Tumelazimika kupeleka walimu 24 tu katika manispaa ya Temeke, Kinondoni na Ilala hatujampangia hata mwalimu mmoja"
Ukicheki vizuri kwenye hiyo list ya ajira mpya utaona kwamba, kumbe yale maneno yake yapo kisiasa zaidi. But ukweli ni huu hapa chini.
Temeke = Walimu 65
Ilala = Walimu 114
Kinindoni = Walimu 51
HIZO NDIYO SIASA ZA BONGO. WATU WANALETA SIASA HADI KWENYE DATA AMBAZO KILA MTU ANAWEZA KUZISOMA.