ajira mpya serikalini adi february 2013

First year wa MUHAS siku hizi wasumbufu sana. Source eti yeye mwenyewe!!!
 
karibue fani zote walimu,nurses,engineering, afisakilimo,doctors,afisa maendeleo,nutrition,wahasibu,etc kila halmashauri,
imepangiwa idadi ya kuajili
unaweza kutupa reference tucheki kila halmashauri itaajiri wangapi?
 
mkuu GOOGLE ni kweli unamfahamu jamaa au zuga tu?wenzio wanataka kujipanga kwa hiyo february kama kwenda kwa babu loliondo waende na mambo ka hizo!!!!
 
mkuu GOOGLE ni kweli unamfahamu jamaa au zuga tu?wenzio wanataka kujipanga kwa hiyo february kama kwenda kwa babu loliondo waende na mambo ka hizo!!!!

Achana naye huyu dent' Boss gani hajui hata kujieleza, et source yeye mwenyewe, namfahamu.
 
nikikutajia wadhifa wangu utachanganyikiwa,anyway way nimekuelewa ,source barua zilizotawanywa halmashauri mbali mbali nchini

Mbona hii habari inakuja vipande vipande..mkuu unatumia simu ya mchina nini? Mimi nimechoka, wanaotafuta ajira endeleeni kuwa wavumilivu na kila la heri.
 
Hayo ni maoni yako...Kwa Tz inawezekana ikawa zaidi ya hapo mbona? Unpredictable country, Wounderfu countries
 
Back
Top Bottom