Ajira kwa walimu wapya

Jonas jumanne

New Member
Dec 14, 2011
3
0
hi jamii.naomba mnisaidie wanajamii,tangu mwezi wa7 wanachuo wamemaliza na mpaka wa9 matokeo vyuo vyote yalikuwa tiali.mwezi wa10 post za ualim zilipangwa na wizra uko moro,lakin mpaka leo hawataki kurelease izo post za ualim.asa 2fanyeje?2shachoka kukaa
 
Mwalimu hujui hata kuandika "tiali" au tayari ,ww utafundisha kweli mtu aelewe au kuharibu vijana wetu.
 
'Tiali' ila hadi mwezi 7 baada ya bajeti kusomwa,mwaka huu fungu halipo!
 
Nimesikia zinatoka mwakani mwezi wa 7. Wakati unasubiri kuajiriwa, anzisha tuition mwalimu.

una uhakika na hvo unavyojb? Au nyi ndo akina riz1 nin? Km ni July af hyo xcul ya kata inayotegemea kuanza jan itaiba wap walimu! Think 10tmz mbele...!
 
hi jamii.naomba mnisaidie wanajamii,tangu mwezi wa7 wanachuo wamemaliza na mpaka wa9 matokeo vyuo vyote yalikuwa tiali.mwezi wa10 post za ualim zilipangwa na wizra uko moro,lakin mpaka leo hawataki kurelease izo post za ualim.asa 2fanyeje?2shachoka kukaa

Usjal, anytime utapata gud news, Jan utarpot bt be ready kwenda bush!
 
Mwenzenu kauliza vizuri mnaanza kumkosoa kuweni na busara siku zote tunajifunza kutokana na makosa sio tabia nzuri hiyo
 
Na huko ajiandae kukaa mwaka mmoja kabla jina lake halijaingizwa kwenye payroll na kuanza kupata mshahara

Hyo payrol sdhan km itakawia coz sku iz kwa hlo wanajtahd kdg kuzngatia, 1month under probtn the next u deserv 2 hav ua salary!
 
Kukosoana hata kwa vitu vinavyoeleweka?. Au kwa sababu hoja imetolewa na mwl. basi mnakagua hadi alama za mshangao, nukta, koma, na alama za kuuliza kama zipo, acheni hizo.
 
Leo nilikuwa wizara ya elimu, niliongea na mfanyakazi mmoja akadai post zitatoka muda wowote ila tatizo kubwa ni serikali haina fedha za kutosha kuwalipa, ungizingatia mwaka huu wamegraduate walimu wengi sana
 
Back
Top Bottom