James fred
Member
- Jan 15, 2014
- 8
- 4
Wahitimu wa shahada na stashahada ya kilimo wamekuwa na uhakika kuhusu kuajiriwa na serikali, lakini wengi wamekuwa na shaka na pia kukosa uhakika sana kuhusu hizo ajira na isitoshe wameshindwa kujiajiri kutokana na kukosa mitaji.
Lakini langu ni kuomba tuchangie hapa. SERIKALI IMEKUWA NA DENI KUBWA SANA AMBALO WANANCHI NDIO INATAKIWA TULILIPE KUPITIA KODI
NA INAVOKADILIWA KILA MWANANCHI ALIPE ZAIDI YA 670000/= Tsh NA IKIZINGATIWA TUPO ZAIDI YA WATANZANIA MILIONI 44.
Mbali na hilo hivi sasa kumekuwa na maandalizi kuhusu kampeni za siasa hivo nafikiri kodi zilizopandishwa na hata mikopo ya wanafunzi kwa sasa imekuwa ikipitia shuleni ali wakatwe fedha zao zote ikiwa ni ada wanayodaiwa.
SWALI LANGU NI JE? AJIRA ZINAWEZA KUPATIKANA KWA MWAKA HUU SERIKALINI KATIKA WIZARA YA KILIMO NA WIZARA YA ELIMU?.