Ajira! Ajira!! Ajira!!!

hahahha uo uhuni tuu... kazi unatoa ela kama sadaka kanisani
 
Are these recruiting agents or? Mi naona hata web yao iko kama ni Just company, sasa hao agents after recruitment wanatoka wapi. Nahisi harufu ya damu pale ntakapofanya hiyo seminar na kusubiria ajira kwa mwaka mwingine.


Mi sipandi gari yenu......
 
Napenda kuwataarifu wale wote waliosomea (I.T) kwamba kuna nafasi zaidi ya 9900 ambazo zinapatikana kwenye kampuni ya (RET)mob security na pia inatangaza kutafuta mawakala nchi nzima.wanapatikana PPF TAWA,ghorofa ya 17 na namba zao za simu ya mkononi ni hii 0762397790.ni hayo tu kwa kifupi,kama unawafahamu zaidi tafadhali ongezea hapa na ukifanikiwa usisahau kuweka mrejesho hapa (asante kwa kusoma)
Wanachokianya unatoa elfu 60 unapewa training, ambayo unaelekezwa namna ya kuinstall iyo software yao kwenye simu na laptop, baada ya training unapewa cheti kisha unaunganishwa na wakala, kila utakapoinstall simu moja unapata 2500, kwa laptop ni Tsh 5000...
Binafsi nilishindwa kukubaliana na izo "Terms and Conditions"
 
Wanachokianya unatoa elfu 60 unapewa training, ambayo unaelekezwa namna ya kuinstall iyo software yao kwenye simu na laptop, baada ya training unapewa cheti kisha unaunganishwa na wakala, kila utakapoinstall simu moja unapata 2500, kwa laptop ni Tsh 5000...
Binafsi nilishindwa kukubaliana na izo "Terms and Conditions"

Ok! It is just business as usual!
 
Jf kama watoto wa baba & mama moja!

Thankx!

undugu ni kufaana. ila nilikwambia miye MAN U.

Umenifanya nicheke sana aisee!

ndio undugu unazidi kukua.

ndyoko ila wewe undugu nimepingulua! Liwalo na liwe!

mmh!...........maneno makali sana haya............da king'ast

Utanifanya nikose usingizi wiki hii yote, mweeeeeeee! Natamani webcam ingekuwa inafanya kazi uone nilivyopiga magoti huku naandika hii post, yaani msamaha pekee ndiyo ninaouomba kwako. Hakika nisamehe tu!

na mim nachukua nafsi hii kukuombea msamaha on bended knees king'asti msamehe ndyoko. nimeshuhudia kabisa akiwa amepiga magoti na kuinama kifudifudi juu yako akiwa anaandika post hii.
 
Nimeenda asee,uwakala 300,000,then wanakuconnect na mtu wa IT waliyemtrain kwa 60,000.kila akiinstall application kwny cmu anapata 2500,wakala anapata 7500.kwny Laptop(premium) anapata 5000,wakala anapata 10000.kazi kwako kusuka/kunyoa
 
Back
Top Bottom