Ajinyonga kama diwani mlangali-ludewa

Praff

Senior Member
Mar 9, 2012
139
12
Raia mmoja amejinyonga kwa kamba mwezi mmoja baada ya diwani wake wa ccm kujinyonga hapa katani mlangali wilayani ludewa. Tabia ya kujinyonga inaanza kuchukua chati kubwa hapa katani kwani huyu ni mtu wa tatu kujinyonga wa kwanza akiwa diwani kacheche, Rudolf Chaula.
 
Tabia hii imekuwa kero hapa katani na nawaomba watu wengine wasiige mfano wa wapuuzi hawa ambao hawaijui thamani ya maisha yao na wanaiga mfano mbaya wa diwani wa sisiemu.
 
Mh! Nipo hapahapa katani Mlangali bado sijapata hizo habari kiundani praff. Source gani hiyo? Amejinyonga lini?
 
Source ya information hii ni mimi mwenyewe na nimehudhuria mazsh pale kijijin lufumbu mlangali ludewa baada ya kupewa taarifa hizo, tusiige mfano wa kujinyonga.
 
Source ya information hii ni mimi mwenyewe na nimehudhuria mazsh pale kijijin lufumbu mlangali ludewa baada ya kupewa taarifa hizo, tusiige mfano wa kujinyonga.

Kwa taarifa zilizopatikana hapo mlangali inasemekana huyo mtu alipigwa to death ndio akatundikwa na wahusika wamekamatwa jana.
 
Back
Top Bottom