Ajifungua baada ya kuvuta bangi

Pancras Suday

JF-Expert Member
Jun 24, 2011
8,143
3,830
Teja mmoja baada ya kuvuta misokoto tisa ya bangi alipitiwa na usingizi kwenye kitanda cha jamaa yake, akiwa kwenye usingizi wa pono mara akaanza kuota ndoto anazaa/anajifungua tena kwa uchungu mkali sana huku analia, mara akashitushwa na jamaa yake kuja kuangalia kitandani ili amwone mtoto aliyekuwa anaota anajifungua anakuta kaweka bonge la kimba kitandani kwa msela wake

BANGI NI NOMA!
 
BANGI NI NOMA![Ctrl+alt=delete]
 
Back
Top Bottom