ajari!...ajari....ajari!...... ya kutisha

Kazi ipo, na cl kajua anapendwa, ananataje sasa?? Ol the best wns
 
Kiongozi umeguswa sharubu eeh?
Watu mko too protective jamani, mtu kutajwj tu tayari kesi!

Kama charminglady anakupenda kikweli, na kama uliwahi kumsindikiza hadi kwake bila kupata tafrani ya Polisi Jamii, basi mwachilie huru, na kama na yeye anakupenda basi hatakuchakachua, na atarudi kwako salama salmin.
wivu utawaueni ndugu.
 
Mteja wangu
naomba uni ruhusu nifanye kazi!
Wadau mkisikia uongo uliokomaa mpaka ukaota nywele ndo huu. nina kama 3 months natumia simu kuingia jf, siwezi kugonga like kwa yeyote. mtoa mada hebu tupia link ya huo uzi nlio-like. otherwise tutakufungulia kesi ya kuidanganya Jamhuri ya wana chitchat!!!!!!!
 
Naomba utoe ushahidi wa unayo yanena lasivyo tuta dai fidia.


Kupokea like kutoka kwa charminglady


Ahsante sana kipenzi wa moyo wangu charminglady kwa kunigongea like kwa mara ya kwanza katika thread fulani hivi,....hii kwangu ni kama ajari ya kufa mtu,hii inanipa nguvu sana katika safari yangu ya kukupata.

Hata hivyo nimeoteshwa kuwa hiyo mimba ya house boy wangu C6 utajifungua Ugali wa mtama.na huo ndio utakuwa mwanzo wangu kwa mbwe mbwe zote'jiandae mama wa shughuli Madame B ,mpiga tarumbeta Judgement best man St. Paka Mweusi,nafasi zingine kuendelea kupangwa na @FP

Niseme tu your my number one............. mwaaaaaaaaa!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Ukishikwa shikamana.
Ukipendwa pendeka.
Ningekuwa mimi napendwa hivyo ningempa sharti anijazie full-tank, ndipo nitoke nae Coco-Beach!

PakaJimmy tatizo anampenda mke wa mtu. tena mama mtarajiwa! hajui kwa mke wa mtu sumu, we ngoja aje akutane na polisi jamii. . .
 
Last edited by a moderator:
Mimi nimeshagundua kwamba mapenzi ya w.n.s kwa cl ni ya dhati sana na anashindwa kuyacontrol kwa sababu mapenzi hayo yanawaka mwilini mwake kama moto wa petroli.
 

Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom