Ajali

Nish

JF-Expert Member
Jul 22, 2011
730
114
Gari aina ya noah iliacha njia na kuingia porini lakini hakuna mtu aliepoteza maisha wakaja trafik na mahojiano na konda yakawa hivi trafik- "gari ilikuwa na abiria wangapi?" konda- "watu watano na wamasai watatu"
 
Bila shaka ilikuwa inatoka Arusha inaelekea Namanga
Siku hizi hadi Bukoba kuna wamasai ndo ushangae wamefikaje hiko....
Nilienda pemba nikawakuta wamasai nikajiuliza wamefikaje nikaamua kukaa kimya tu maana hataBK niliawakuta
so hapa paweza kuwa ni Mtwara au Kigoma
 
Back
Top Bottom