Ajali ZNZ: Vodacom waanza kugomewa

VODA ni kampuni binafsi! Mbona watu hamuelewi hilo. VODA sio serikali na haina obligation yeyote kuomboleza. Mnataka nchi nzima tubaki nyumbani tulie? Life goes on. VODA inatumia pesa yake kujipa raha, msiingilia uhuru wa watu binafsi kwa madai ni janga la taifa. Je mnawalaumu walionda kwenye hiyo Miss Tanzania? Na mshindi je? Lawama zinaishia wapi?

Kwanini msimlaumu the majority share holder wa Vodacom kwanza??

Iwapo, one call imeweza kumrudisha Mh. Kikwete nyumbani na kukatisha ziara.
One call from Ikulu kusimamisha ufunguzi wa kampeni pia ingelitosha!
Likewise, one call from Ikulu kusimamisha shughuli za urembo ingelitosha.

Ni mara ngapi tumeona matangazo yakikatishwa TBC kwa kupokea simu toka Ikulu au Usalama??

Ila "huyu ni mwenzetu" na ulegelege ni mwingi!!!

Hapo pekundu ni pumba na mawazo ya miaka ya 60. Kwa nini Rais awe na uwezo wa kusimamisha tamasha binafsi? Je wewe ungekuwa na harusi, ana uwezo wa kusimamisha hiyo pia kwa 'one phone call'? Ivi Miss Tanzania ni tamasha la serikali au ni kampuni binafsi?

Pumba 2pu mnao laumu voda ki2 kshatokea na wa2 wameshazkwa 2mewasahau hzo lawama mnataka kuchochea ugomv 2!voda itaendelea kupga kaz kama kawa KAZÍ NI KWAKO 2.mana a2hemi kila saa voda voda voda jaman khaa

Pumba 2pu mnao laumu voda ki2 kshatokea na wa2 wameshazkwa 2mewasahau hzo lawama mnataka kuchochea ugomv 2!voda itaendelea kupga kaz kama kawa KAZÍ NI KWAKO 2.mana a2hemi kila saa voda voda voda jaman khaa

7818.jpg

i

Hawa wazungu walikuwa taaban kusaidiana na ndugu zetu kutafuta maiti na watu walionusirika

IMG_6975.JPG

Then VODACOM waliamua kuwa bize kufanya yafuatayoooo

wakati mnahangaika kutafuta Maiti za watoto wenu na ndugu zenu hawa walisema watakaosa pesa na wataingia hasara kubwa so wakaendelea kujirusha kama kawaida

Kuna sms zinatumwa na watu Unguja, Pemba na baadhi ya watu Dar kuwa Vodacom wamekuwa insensitive kufanya MISS TANZANIA on the same day Tanzania imekumbwa na janga zito.

I think kwenye hili MWAMVITA MAKAMBA amechemsha na sijui Voda watafanya nini kujitetea

Kutoa misaada haisaidii watu

Sidhani kama hiyo misaada itakubaliwa mkuu.

sasa leo jumatatu wameamka na pombe zishawatoka I can only imagine watakuwa sijui wanajiskiaje

I used to think Mwamvita was more intelligent than her dumb sheep that stalk her

Kuna sms zinatumwa na watu Unguja, Pemba na baadhi ya watu Dar kuwa Vodacom wamekuwa insensitive kufanya MISS TANZANIA on the same day Tanzania imekumbwa na janga zito.

I think kwenye hili MWAMVITA MAKAMBA amechemsha na sijui Voda watafanya nini kujitetea

Kutoa misaada haisaidii watu
Kwani toka lini uliona Tanzania wanaungana kugomea kitu,naona hizo sms ni sawa na kuzidi kunufaisha hayo makampuni ya simu(kumbuka yanakwepa kulipa ushuru)

Kuonyesha picha za CCM hakuwezi KUJUSTIFY a sense of INHUMANE ambayo VODACOM wameonyesha kwa kuendelea na shindano la UREMBO kukiwa na MSIBA mkubwa nchini, inawezekana baadhi ya wazanzibar hawakubaliana na muungano, hayo ni maoni yao lakini legally Zanzibar is part of Tanzania. Yes Vodacom are the main sponsor of the EVENT and their Chief Officer: Marketing & Corporate Affairs.
MWAMVITA MAKAMBA of which the Corporate Social Responsibility (Vodacom Foundation) is under her custodian was there smilling as if nothing happened and few hours/days later she will be in Zanzibar presenting gift to victims of the accident....SHAME ON YOU VODACOM
Ni uendawazimu na unafiki wa hali ya juu kulaumu VODACOM PEKEE NA KUONA CCM WALICHOFANYA NI HALALI. Ifikie hatua either ukae kimya au uwalaumu wote CCM na VODA, na voda sio waandaaji, which means ambacho wangeweza kufanya ni kuukana udhamini tu na LUNDENGA mwana CCM angeendelea na shuguli yake.
Mchawi wenu wazanzibari ni ndoa yenu ya CCM na CUF inawafanya mshindwe hata kushinikiza hatua za kisheria au watu wawajibike bt mnasisitiza tu kuwa ni kazi ya Mwenyezi Mungu. Sasa kama ni kazi ya Mwenyezi Mungu kwa nini mnalaumu vodacom???

Wekeni na BOYCOTT CCM campain pia kwa kuzindua kampeni siku ya msiba...
KAZI NI KWAKO, mi naeenda kumtumia mtu mkwanja kwa Mpesa MAN sasa hivi,,,
Huenda kuna wahanga wametumiwa hela za sanda kwa MPESA MAN, sema tu mnataka prommo kwa ZANTEL yenu...
Acheni chuki za kidini na kikabila huko Zanzibar.

Sidhani kama ni sawa kuwalazimisha

kila mmoja na kampeni yake

leteni majina ya wahusika then kila mmoja achague lake

jamani VODACOM VODACOM, Je serikali ya mapinduzi Zanzibar na Jamhuri ya Muungano walichukuliaje hili tatizo tangu lilipotokea saa Saba ? muda gani kamati za ulinzi na usalama zilikutana,Baada ya kuona maiti au baada ya kusikia juu ya ajali,nani alilitaarifu taifa iwe zanzibar au bara na taifa lilitaarifiwa saa ngapi,kupata majibu haya kutatusaidia kujua nani alikuwa serious na janga hili kwa kiwango gani,Haiwezekani Srikali husika na vyama tawala husika ambavyo wateja wake wakuu wanapata mataizo viwe kimya, nasi tuone kawaida Kwa UNAFIKI tunaishikia bango VODACOM kana kwamba VODACOM pekee ndiyo wenye wajibu wa Kujishughurisha na majanga kwani VODACOM ni NGO ya majanga.mpaka leo asubuhu vyombo vyetu vingi vinaendelea na maisha kama kawaida kana kwamba swala la meli kuzama ni nadhalia isiyo na mshiko.TUACHE unafiki ni muhimu tuliangalie swala hili kwa mapana yake.

Ukweli hili suala lina utata!! Ila kwa desturi na tamaduni zetu wabongo, walipaswa kucancell! maana ni msimba wa kitaifa!

Nani kasema msiba wa kitaifa. Acha unafiki eti kuleta watanzania mnajaliana, wakati watu wanakufa kwa kukosa chloroquine na watu wanaiba mali za umma, ufisadi unauanchi hilo hamlishupalii, mnashupalia upuuzi.

Vodacom are sending out SMS MAAFA to 15599 to contribute 1000TZS and Mpesa any amount from 1000. Watumiaji wa Vodacom mmepokea hiyo SMS?

Leo CHADEMA wa JAMII FORUMS mnamtetea ROSTAM na kampuni yake ya VODACOM!!!!!

VODACOM mlikuwa mnalalamika ni kampuni ya FISADI ORIJINO leo imekuwaje?

Kweli FISADI rOSTAM kawashika pabaya

Mkuu kunaweza kuwa na sababu nyingi tuu. Mojawapo Vodacom ni kampuni kubwa na maarufu sana Tanzania, so watu wanafikiri it should lead by examples. Nafikiri kati ya hao sponsors watano, Vodacom ilikuwa ndio kampuni kubwa. Sababu nyingine Vodacom imekuwa sana mstari wa mbele ku champion corporate social responsibility. Kwa sababu hii tuu yenyewe watu wengi wanadhani Vodacom ingekuwa mstari wa mbele kama walivyokuwa kwenye mabomu ya gongo la mboto. Kumbuka hii coporate social responsibility ni mojawapo ya sababu inayoifanya vodacom kulipa kodi ndogo zaidi ya Airtel japokuwa vodacom ina wateja wengi zaidi ya Airtel. Watu wanauliza where was vodacom corporate social responsibility kwenye hili janga?

Wapo wengine wanasema Vodacom haina wateja wengi Zanzibar ndio sababu waliamua kuendelea na Miss Tanzania. Sidhani hata vodacom wataikubali hii sababu b'se kibiashara haijakaa vizuri. Vipi kama janga lilikuwa limetokea Tanzania bara? Unafikiri haya mashandano yangeendelea? This event was not Miss Tanzania Mainland. It was Miss Tanzania. Kama alivyosema Mh Zitto hili janga lime test umoja na utu wetu. Kwa hili janga tumejua umoja, ushirikiano na utu wetu upo wapi.

Ku sponsor tuu Miss Tanzania itself ni corporate social responsibility. Pia kwa kampuni kusaidia watu watu waliokubwa na janga ni part ya corporate social responsibility. Na haya mambo yanapotokea kwa wakati mmoja inaweza kuwa ngumu ku make a right decision. But as a company, you will have to make a bold decision. Na katika maamuzi ya kampuni lazima itake into account its business interests presently and in future.

Lakini kama nilivyosema kwenye post yangu ya nyuma, this is problem rooted in our society. Kumbuka jana kulikuwa sio tuu na Miss Tanzania. Kulikuwa pia na ufunguzi wa kampeni za kisiasa huko Igunga. Kulikuwa pia na michezo ya mbalimbali. Tunachukulia issues very lightly. All go down kuwa kama serikali ingekuwa imetoa tamko tokea mapema haya yasingetokea. Hata hivyo vyombo vya habari hasa vya bara vimechangia sana haya kutokea. Nilishangaa Zanzibar disaster was trending worldwide on Twitter lakini kwenye vyombo vyetu vya habari vya ndani ilikuwa kama halikuwa janga kubwa.

that's right brother, for me i say it on my mobile when i wanted to get update for my comrade gadafi at aljazeera, then press tv masikini vyombo vyetu hata mwananchi ililalamikiwa ktk comment moja

• Thanks
Reactions: Map
Inasikitisha kuona mtu ambaye vijana wengi wanamuamii akianzisha mjadala huu kuhusu vodacom na tukio la ajali la zanzibar na kutaka watu waione vodacom kuwa hawana uchungu na wazanzibar, hivi kampuni hii sio ndio miongoni mwa za mwanzo kabisa kutoa sapoti huko zenj, zitto achana siasa za kitoto kuwa sasa. kama kutoa misaada sio ishu kinachoendelea sasa kwa wahanga wa ajali zanzibar ni nini? hakuna haja ya kuunganisha tukio moja na lingine. lazima ujue kuna wafanyakazi wengi wa vodacom wanaochangia kodi ambazo ndizo hizo unazokula na kutembea na wadogo zetu kule Dodoma. be a positive thinker na acha siasa ucharwa

Acheni ushabiki wa kiwivu na kijinga, mbona hamzungumzii chama tawala kutoahirisha uzinduzi wa kampeni zao huko Igunga. Voda wako kwenye business, afterall that is not their target market as the area is dominated by Zantel subscribers.

mie siwashangai, kwani nyote mnawakilisha matakwa ya kibepari. utu hakuna mbele ya pesa. na wote tanzania tukibadilika tukaamini utu mbele ya pesa hakuna, basi tutafikishana pabaya kwa hiyo pesa ilyofanikisha kung'oa imani ya YUDA ESCARIOTE.

POLENI WATANZIA WAZALENDO MNAOPENDA UNDUGU, MUNGU ATATUTIA NGUVU.

Back
Top Bottom