Ajali ZNZ: Vodacom waanza kugomewa

Kuonyesha picha za CCM hakuwezi KUJUSTIFY a sense of INHUMANE ambayo VODACOM wameonyesha kwa kuendelea na shindano la UREMBO kukiwa na MSIBA mkubwa nchini, inawezekana baadhi ya wazanzibar hawakubaliana na muungano, hayo ni maoni yao lakini legally Zanzibar is part of Tanzania. Yes Vodacom are the main sponsor of the EVENT and their Chief Officer: Marketing & Corporate Affairs.
MWAMVITA MAKAMBA of which the Corporate Social Responsibility (Vodacom Foundation) is under her custodian was there smilling as if nothing happened and few hours/days later she will be in Zanzibar presenting gift to victims of the accident....SHAME ON YOU VODACOM

kama kuna mtu alifkiri Mwamvita ana akili hivyo sasa leo mmethibitishiwa how overrated she is

mimi siku zote nilikuwa nasema yule ni opportunist tuu

Kuna sms zinatumwa na watu Unguja, Pemba na baadhi ya watu Dar kuwa Vodacom wamekuwa insensitive kufanya MISS TANZANIA on the same day Tanzania imekumbwa na janga zito.

I think kwenye hili MWAMVITA MAKAMBA amechemsha na sijui Voda watafanya nini kujitetea

Kutoa misaada haisaidii watu

<br / WAWALAUMU CCM ambacho ndo kinamiliki dola hk zanzibar KWA KUWADHARAU WAFIWA KWA KUZINDUA KAMPENI KWA SHANGWE NA VIGELEGELE HK IGUNGA.

kama kuna mtu alifkiri Mwamvita ana akili hivyo sasa leo mmethibitishiwa how overrated she is

mimi siku zote nilikuwa nasema yule ni opportunist tuu
Hii ni PR disaster,sponsoring an event,associating ur name with something,while the nation mourns is just a no brainer

Kuonyesha picha za CCM hakuwezi KUJUSTIFY a sense of INHUMANE ambayo VODACOM wameonyesha kwa kuendelea na shindano la UREMBO kukiwa na MSIBA mkubwa nchini, inawezekana baadhi ya wazanzibar hawakubaliana na muungano, hayo ni maoni yao lakini legally Zanzibar is part of Tanzania. Yes Vodacom are the main sponsor of the EVENT and their Chief Officer: Marketing & Corporate Affairs.
MWAMVITA MAKAMBA of which the Corporate Social Responsibility (Vodacom Foundation) is under her custodian was there smilling as if nothing happened and few hours
/days later she will be in Zanzibar presenting gift to victims of the accident....SHAME ON YOU VODACOM

Vodacom sio waandaaji wa miss tanzania,wao ni wadhamini tu,labda tunatakiwa kujua majukumu ya muandaaji na mdhamini,wenye mamlaka ktk hili ni lino au serikali.Vodacom wanahusikaje?why ishambuliwe vodacom na sio waandaaji,je vodacom ndio mdhamini pekee wa miss tanzania?

Hivi miss tz ni shindano la kiserikali?Nani alikuwa na mamlaka ya kulisimamisha shindano hilo? Kwa sehemu kubwa kumekuwapo na uzito kwa serikali kuchukua hatua kuhakikisha habari za uhakika kuhusiana na ajali zinatolewa kwa wananchi hasa kupitia vyombo vyake vya habari tbc.

VODACOM ndiye mdhamini mkuu na Mkuu wa masuala ya misaada ya Kijamii Mwamvita Makamba alikuwepo jukwaani, hawawezi kwepa lawama hizi they/you know this better...Being a main sponsor moja kwa moja unajivika FULL RESPONSIBILITY za kuwajibika na hiyo shughuli...

Siwalaumu Vodacom sana ila hawa TBC wanaoendeshwa na kodi yangu walishindwa nini kutuwekea uzi hata chini kuhusu msiba huu mkubwa? Nina hakika tangu saa kuminamoja asubuhi taarifa walikuwa nazo, na wanajiita 'UKWELI NA UHAKIKA '

VODACOM ndiye mdhamini mkuu na Mkuu wa masuala ya misaada ya Kijamii Mwamvita Makamba alikuwepo jukwaani, hawawezi kwepa lawama hizi they/you know this better...Being a main sponsor moja kwa moja unajivika FULL RESPONSIBILITY za kuwajibika na hiyo shughuli...
In this world of cut throat competition,the buck stops with vodacom,anywhere else the uproar would have been massive-financally motivated parading semi naked females while a nation mourns departed souls

VODACOM ndiye mdhamini mkuu na Mkuu wa masuala ya misaada ya Kijamii Mwamvita Makamba alikuwepo jukwaani, hawawezi kwepa lawama hizi they/you know this better...Being a main sponsor moja kwa moja unajivika FULL RESPONSIBILITY za kuwajibika na hiyo shughuli...
Kwa mtazamo wako hakutakiwa kuwepo?kama waandaaji wangehahirisha alafu yeye akawepo angebeba lawama but kwa sababu waandaaji hawakuhahirisha na serikali haikutoa order ya kusimamimamisha shughuli ile ya ulinzi wa polisi ulikuwepo unaanzaje kumlaumu mdhamini?Tusikurupuke kudakia topic za wanaotafuta umaarufu

VODACOM ndiye mdhamini mkuu na Mkuu wa masuala ya misaada ya Kijamii Mwamvita Makamba alikuwepo jukwaani, hawawezi kwepa lawama hizi they/you know this better...Being a main sponsor moja kwa moja unajivika FULL RESPONSIBILITY za kuwajibika na hiyo shughuli...

Mkuu, this is your take about Vodacom, na ninakubaliana nayo, they could have pulled out from being the main sponsors and so.. But what is your take about CCM na kufungua kwao kampeni kwa shangwe na vifijo huku wakiongozwa na Mh. Mkapa ambaye bado anapata mengi directly kutoka kwenye kodi zetu??! But also, what is your take about TBC... au mpaka nazo hizi tuzianzishie sred zake?!!

Kwanini msimlaumu the majority share holder wa Vodacom kwanza??

Iwapo, one call imeweza kumrudisha Mh. Kikwete nyumbani na kukatisha ziara.
One call from Ikulu kusimamisha ufunguzi wa kampeni pia ingelitosha!
Likewise, one call from Ikulu kusimamisha shughuli za urembo ingelitosha.

Ni mara ngapi tumeona matangazo yakikatishwa TBC kwa kupokea simu toka Ikulu au Usalama??

Ila "huyu ni mwenzetu" na ulegelege ni mwingi!!!

kulaumu voda pekee si sahihi kwani kuna idara za serikali ziliwakilishwa pale... pia kumtaja Mwamvita ni ufupi wa fikra, she was just responding to her company's call.

Kama ni lawama basi ziende kwa wadhamini wote na sio voda

NA KAMA TUNATAFUTA TU PA KULAUMU BASI TULAUMU CCM WALIOZINDUA KAMPENI WATAKI TUNA JANGA LA KITAIFA

Hili ni tatizo la kimfumo ambalo limekuwa rooted sio tuu kwenye serikali bali pia kwenye private sector. Kama sponsor Vodacom walikuwa kwenye wakati mgumu lakini as champion of "corporate social responsibility" this was their defining moment. Labda nani alikuwa na maamuzi ya mwisho ya Miss Tanzania kuendelea? Ni waandaji au sponsors or both? Kama alikuwa ni mwaandaji Vodacom wangeweza kukataa kuendelea ku sponsor hiyo shughuli? Mkataba wao wa sponsorship unasema kunapotokea janga kama hili?

Serikali ilitangaza janga la kitaifa baada ya zaidi ya masaa 15 ya ajali kutokea. CCM iliendelea na ufunguzi wa kampeni zake as nothing happened. Vyombo vyetu vya habari navyo kama vile vili underrate hili janga. Haya yote yamechangia sana. Hata hivo kwa kampuni inayojitangaza yenyewe kama champion of corporate social responsibility wangetakiwa wafanye maamuzi magumu hapa. What and why did they decide to go ahead with sponsoring the event? Cha maana ni Vodacom kutoa statement kuwaleleza wateja na umma kwa ujumla about their decision. Kabla hili linabidi lifanywe kabla hawajaendea huko Zanzibar with their so called "corporate social responsibility

739-ebLNM.Em.55.jpg

residents_attempt_to_identify_the_bodies_of_their__4e6bcef9cb.JPG

739-ebLNM.Em.55.jpg

DSC06056.JPG

sitoshangaa kuskia VODACOM kutoa 10 million shilling kujaribu kutatua hiii disaster

hili ni tatizo la kimfumo ambalo limekuwa rooted sio tuu kwenye serikali bali pia kwenye private sector. kama sponsor vodacom walikuwa kwenye wakati mgumu lakini as champion of "corporate social responsibility" this was their defining moment. labda nani alikuwa na maamuzi ya mwisho ya miss tanzania kuendelea? Ni waandaji au sponsors or both? Kama alikuwa ni mwaandaji vodacom wangeweza kukataa kuendelea ku sponsor hiyo shughuli? Mkataba wao wa sponsorship unasema kunapotokea janga kama hili?

Serikali ilitangaza janga la kitaifa baada ya zaidi ya masaa 15 ya ajali kutokea. Ccm iliendelea na ufunguzi wa kampeni zake as nothing happened. Vyombo vyetu vya habari navyo kama vile vili underrate hili janga. Haya yote yamechangia sana. Hata hivo kwa kampuni inayojitangaza yenyewe kama champion of corporate social responsibility wangetakiwa wafanye maamuzi magumu hapa. What and why did they decide to go ahead with sponsoring the event? Cha maana ni vodacom kutoa statement kuwaleleza wateja na umma kwa ujumla about their decision. Kabla hili linabidi lifanywe kabla hawajaendea huko zanzibar with their so called "corporate social responsibility

kaka nimekukubali

huna mpinzani jf

statement yako imeeeleza mambo mazito sana

kulaumu voda pekee si sahihi kwani kuna idara za serikali ziliwakilishwa pale... pia kumtaja Mwamvita ni ufupi wa fikra, she was just responding to her company's call.

Kama ni lawama basi ziende kwa wadhamini wote na sio voda

NA KAMA TUNATAFUTA TU PA KULAUMU BASI TULAUMU CCM WALIOZINDUA KAMPENI WATAKI TUNA JANGA LA KITAIFA

Mkuu is Mwamvita not one of the alter ego of the company? Is she the face of Vodacom hasa kwenye social repsonsiblity? Kwa hiyo wakati Vodacom wanamtumia wakati wa mema, kwa nini asitumiwe wakati wa mabaya?

Naona extremism and radicalization is cropping up fast within TZ, hivi miss TZ na Vodacom league si ajira za watu? na nani kikatiba ana mamlaka ya kusimamisha shughuli za kitaifa? Watu waache kumtafuta mchawi hawa wakina Jussa ni watu hatari sana katika ustawi wa jamii yetu! Mchawi ni serikali ya Zanzibar kupitia wizara ya usafirishaji! Huko ndipo malalamiko yaelekezwe...BTW naanza kuhisi kama vile waziri wa usafirishaji Zanzibar ni CUF vile?

Back
Top Bottom