Ajali zitaongezeka...kwakuwa waliosababisha ni serikali kwakuruhusu ununuzi wa vitu chakavu.!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,574
8,590
Nina uhakika hili la ajari halitaisha kwa serikali hii!!
Kwanza serikali kupitisha sheria ya kununua vitu vilivyotumika (chakavu) Yale yalikuwa ni makosa makubwa!! Huwezi kumtuma mtu ambae ajala siku tano ukampa bakuli la ubwabwa apeleke kwa mgonjwa wakati yeye ajala!!lazima atadokoa...!!
Kwa misingi hiyo...Ajali,Meli,ngege,Zitakuwa nyingi hasa kwenye taasisi zinazomilikiwa na serikali!
 
na hususan wanaokufa ni wanyonge, ingekuwa wanakufa watoto wa vigogo nafikiri hatua zingechukuliwa
 
Nina uhakika hili la ajari halitaisha kwa serikali hii!!
Kwanza serikali kupitisha sheria ya kununua vitu vilivyotumika (chakavu) Yale yalikuwa ni makosa makubwa!! Huwezi kumtuma mtu ambae ajala siku tano ukampa bakuli la ubwabwa apeleke kwa mgonjwa wakati yeye ajala!!lazima atadokoa...!!
Kwa misingi hiyo...Ajali,Meli,ngege,Zitakuwa nyingi hasa kwenye taasisi zinazomilikiwa na serikali!

ngege.....kikwetu unamaanisha samaki aina ya sato mkuu.....
 
Naomba kujua ule mswaada wa kununua vitu vilivyotumika (second hand) kama ndege, meli n.k uliofikishwa Bungeni kipindi fulani umeishia wapi?
 
Nina uhakika hili la ajari halitaisha kwa serikali hii!!
Kwanza serikali kupitisha sheria ya kununua vitu vilivyotumika (chakavu) Yale yalikuwa ni makosa makubwa!! Huwezi kumtuma mtu ambae ajala siku tano ukampa bakuli la ubwabwa apeleke kwa mgonjwa wakati yeye ajala!!lazima atadokoa...!!
Kwa misingi hiyo...Ajali,Meli,ngege,Zitakuwa nyingi hasa kwenye taasisi zinazomilikiwa na serikali!

sijakusoma bado, ungekaribia kwenye tageti ukatutajia vyombo chakavu vya SERIKALI vilivyopata ajari. Btw, labda dege la atcl but vyombo vingi vinavyopata ajari na kuua maelfu ni vya viongozi wa nchi. Hata hivyo, meli iliyozama juzi haikuwa chakavu bali ilikuwa sudstandard ndo maana hata ilivyouzwa zanzibar huko Colorado walisikitika kwa kuwa walijua kuwa inaenda kumaliza maisha ya watu masikini.
 
Nilichokuwa na gusia hapa nikuwa..kutokana na mswada washeria uliopitishwa..juzi..kuruhusu serikali kununua vyombo chakavu haswa vitu kama meli,Ndege,Train....nk..Vitakuja kuongezeka kwakuwa ipo sikuwanunuzi watanunua vyombo kama vya MV.sagel kwakuwa nivyombo ambavyo vilishatupwa...!Na kwkuwa kinachotusumbua cha 10%Ndo tatizo lilopo!!
 
Back
Top Bottom