Ajali Zanzibar

nimesikia ktk JAHAZI kuwa kuna boti inawaleta huku bara waliojeruriwa...updates zaidi baadea
 
nao hawa wamezidi kutepeta..usikute wameteguka tu mikobo basi amiiiiii twendee baraaa muhimbiliii atii kwa masipeshalisti
 
nao hawa wamezidi kutepeta..usikute wameteguka tu mikobo basi amiiiiii twendee baraaa muhimbiliii atii kwa masipeshalisti

Nakubaliana nawe Wakurya ndio walivyo, lakini mtu akiumia si hurudi kwao?
 
jamani hii ajali imemkuta na kaka yangu aitwaye Steve, yeye ni mwanajeshi wa huku bara (dodoma point) ila walikuwa zenj kwa mafunzo zaidi. Wanajeshi wengi wamejeruhiwa ila wahutihuti wameletwa huku bara na wamelazwa pale Lugalo na yeye akiwamo!
 
Back
Top Bottom