Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,967
- 11,212
Mambo kama haya huwezi uka conclude, kwani wengi wanakisia ajali kupangwa lakini pia inawezekana kwa upande wa pili ajali zikawa za bila kupangwa..swala ni ushahidi...
kwanini waongope in the first place na uanze kujihami mapema kama mh. Mwakyembe alivyosema sikutaka kuamini lakini maelezo yao ya ajabu ajabu ndio yananipa sababu, ila kama ulivyosema kuna pande mbili mara nyingi and more in some cases, hata hapa pia kuna watu tuna-o ipenda Tanzania na watu wake, kuna watu waliokua wachoyo, wasiotaka ukweli kwa sababu wanazozijua wenyewe though in most cases wasiotaka maendeleo ya taifa bali maendeleo yao binafsi.