Ajali yakutisha yatokea Tegeta njiapanda ya wazo

Kwakweli madereva jamani tuzidishe umakini. Mungu awaponye wale wote majeruhi
 
Magari mengi ni mabovu ambayo hayana hadhi ya kuwa barabarani. Watu hawazijui sheria za barabarani au wanazifahamu lakini hawataki kuzifuata. Polisi wanachangia kwa kiasi kikubwa maana watu hawaogopi kabisa utakuta mtu hana leseni wala hajaingia darasani kujifunza sheria za barabarani lakini naye ni dreva ukimuuliza huogopi kukamatwa? Nakujibu nitatoa 30 elfu kisha polisi anaangalia pembeni...Nchi yetu inatisha sana kila kitu ni hovyo hovyo!!!! Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi.

Matatizo ya ubinafsi na unafiki na sera zisizoendelevu ndio yanayo tufikisha hapa.
Wa TZ tunabebana sana kijinga kijinga na hatuna umoja katika kukemea uovu unaosababisha vifo visivyo vya lazima
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Matatizo ya ubinafsi na unafiki na sera zisizoendelevu ndio yanayo tufikisha hapa.
Wa TZ tunabebana sana kijinga kijinga na hatuna umoja katika kukemea uovu unaosababisha vifo visivyo vya lazima

Ndugu zangu hii rushwa inaadhiri sana Tanzania. Rais akiitwa mdhaifu tunalalamika. Uongozi wa nchi hii ni masikini kupindukia. Tunapoteza innocent citizens kwa sababu hayupo anayefuata sheria. Polisi ni wajinga na wazembe wanaoangalia tu rushwa kwa faida yao. Wengi wao hawana elimu waliforge vyeti hivyo hizo uniform na silaha walipewa kuulia raia. It ia costing us too much. Tuamke, tujielishe, tuondokane na hawa viongozi washenzi wanaookota tu rushwa. Kama kuna sheria za barabarani zisimamiwe kikamifu na kufuatwa. Sijui nisemeje hadi hawa vilaza wa taifa hili wasikie. Mnafilisi nchi, but at the end of the day wote tutafia hapo Mhimbili. Ipo siku hamtaweza kupanda hizo ndege kwenda India kama mnavyojiendea. Mungu awapumzishe wote waliofariki katika ajali hii na kuwafariji wanafamilia wao wote. Mungu ibariki Tanzania kwa kutujalia uongozi wenye hekima, busara, haki, na upendo kwa taifa hili.
 
una vias wewe.... LOL
Sio hivyo Mkuu ila napiga vita utamaduni wa kuridhika na mauaji ya barabarani kwa sababu zile zile , uzembe na uvunjaji sheria. Halafu tunaambiwa ni mapenzi ya Mungu, tunachemka na tutaendelea kufa. Hapo Wazo Hill junction si mara ya kwanza ma lorry yana fail break yakitokea Wazo lakini hakuna hata kibao kimoja kule juu cha kuwaambia madereva slow the freak down! Hakuna. Kituo cha daladala nacho kipo hapo hapo junction. Perilous conditions. Hatutafuti chanzo wala dawa za ajali hizi.

Najiuliza, watu wamejeruhiwa wengine wamekufa, tunasema "Jina lake libarikiwe," kwa lipi? Kwa hawa aliowanusuru au kwa wale waliokufa? Jina lake libarikiwe kwa lipi, kuua?
 
Ni kweli kamanda, i lost one of my best friends kwenye ajali na hayo malori about 2 years ago,

kuna haja ya kuwaweka wazo hill wenyewe responsible na safety ya community around them, sio kuvuna pesa tu
 
Back
Top Bottom