Ajali yakutisha yatokea Tegeta njiapanda ya wazo

Ruhazwe JR

JF-Expert Member
Jan 31, 2011
3,403
920
Ajali mbaya ya kutisha,watu kadhaa wanasadikiwa kufa majeruh wengi, nawaletea picha na chanzo cha ajar hv punde
 
polen sana wale wote waliofikwa na ajali pia tunawaombea afya njema mungu awaludishie kusudi waendele na maendeleo ya kujenga taifa .kwa upendo wake mungu wale wote alio wachukua walale mahala pema peponi.RAHA YA MILELE UWAPE E BWANA NA MWANGA UWANGAZIE WAPUMZIKE KWA AMANI
 
Ajali mbaya ya kutisha,watu kadhaa wanakusudia kufa majeruh wengi,nawaletea picha na chanzo cha ajar hv punde

mtu anawahi kuleta thread hata hajajiandaa... sasa sijui issue ni kuwa wa kwanza kupost au nini, tuna ndugu, jamaa na marafiki sasa unapoleta kimini cha habari sijui unategemea nini

Halafu unasema watu kadhaa wanakusudia kufa---- as if ni optional!!! this is insane

then unasema utaleta pia chanzo cha ajari.... hivi chanzo ni rahisi kupatika ahivyo??
I am disappointed
 
mkuu kwenye ajali kunamambo meng,kunakupigapicha,kuoko majeruh.naweka update sasahiv
 
Jamani hizi ajali,,, hapa juzi tu nilikuwa na misiba miwili kwa ajali ya pikipiki alikikuwa shemeji yng na mtoto wa baba yk mkubwa....
 
mtu anawahi kuleta thread hata hajajiandaa... sasa sijui issue ni kuwa wa kwanza kupost au nini, tuna ndugu, jamaa na marafiki sasa unapoleta kimini cha habari sijui unategemea nini

Halafu unasema watu kadhaa wanakusudia kufa---- as if ni optional!!! this is insane

then unasema utaleta pia chanzo cha ajari.... hivi chanzo ni rahisi kupatika ahivyo??
I am disappointed

Silly thread
 
tunawaombea afya njema mungu awaludishie ....kwa upendo wake mungu wale wote alio wachukua walale mahala pema peponi.
Kwa hiyo wale ambao Mungu amewapenda ndio wamekufa! Halafu hawa majeruhi unasema tunawaombea wapone, ina maana hawa hatutaki Mungu awapende! Ridiculous, tuimarishe hatua za kupunguza mazingira hatarishi barabarani, hakuna cha theology hapa!

Hizi ajali tunajitakia wenyewe, hakuna cha upendo wa Mungu hapa!
 
mtu anawahi kuleta thread hata hajajiandaa... sasa sijui issue ni kuwa wa kwanza kupost au nini, tuna ndugu, jamaa na marafiki sasa unapoleta kimini cha habari sijui unategemea nini

Halafu unasema watu kadhaa wanakusudia kufa---- as if ni optional!!! this is insane

then unasema utaleta pia chanzo cha ajari.... hivi chanzo ni rahisi kupatika ahivyo??
I am disappointed
Mkuu,

Kuna lori lililosheheni simeti kutoka kiwanda cha Wazo limefeli breki wakati likishuka kilima kutokea kiwandani. Likaja kuparamia daladala zilizokuwa zinapakia Abiria nia panda pale. Likazoa daladala moja mpaka kwenye Duka la Vifaa vya ujenzi na Bar ya KMM. Mpishi aliyekuwa kwenye jiko la bar amefariki papo hapo, na abiria waliokuwa ndani ya gari wako nyang'anyang'a. Juhudi za uokoaji zinaendelea lakini dalili zinaonyesha kutakuwa na vifo vingi sana. Hivi sasa bado kichwa cha lori bado kiko ndani ya duka la Vifaa vya ujenzi baada ya kuufumua ukuta na kuzama ndani.

Mungu atunusuru na haya Majanga.
 
nilikua na wasiwasi na wewe na kanyagio mkuu....

nashukuru umeleta taarifa kamili
 
mkuu kwenye ajali kunamambo meng,kunakupigapicha,kuoko majeruh.naweka update sasahiv

yamepita masaa, hako chanzo cha ajari ulicholeta, picha wala waliokusudia kufa

umenikera sana mkuu............ najua wewe ni mgeni, lakini thamini basi maisha ya wenzako
 
Kwa hiyo wale ambao Mungu amewapenda ndio wamekufa! Halafu hawa majeruhi unasema tunawaombea wapone, ina maana hawa hatutaki Mungu awapende! Ridiculous, tuimarishe hatua za kupunguza mazingira hatarishi barabarani, hakuna cha theology hapa!

Hizi ajali tunajitakia wenyewe, hakuna cha upendo wa Mungu hapa!
una vias wewe.... LOL
 
Back
Top Bottom