KILITIME
JF-Expert Member
- Nov 17, 2009
- 265
- 18
Mtu mmoja haofiwa kufa baada ya pick up double cabin moja yenye namba za usajili T135AKC mali yaSalehe H Salehe kuligonga daladala lenye namba T115 BGJ aina ya NISSAN mali ya M.A.Mfanga inayofanya safari zake kati ya Mabibo na Makumbusho ubuvuni wakati dereva wa picup akijaribu kuwakwepa wanafunzi wa shule waliokua wanavuka katika kituo cha studio hata hivyo haikutambulika mara moja kama dereva huyu wa pickup alikua katika akili za kawaida pia jina la majeruhi hilikufahamika mara moja yaelekea emepatwa na mshituko jinsia ni mwanamke anaekadiriwa kuwa na umri wa miaka kata ya miaka 30-35 hivi!