Ajali ya ndege?

The Boss kaona hiyo kiuno hapo kwenye avator ya dorin akazimia mwenyewe!

Hahahahahahahahaha....Boss mpenda viuno eh!? Kila la heri Boss katika jitihada zako za kumsitiri Dorin au kiuno chake ;)
 
Hakuna ajali yeyote hapo, ni ajali za kutengeneza bila kujulisha wafanyakazi wa dharula ili kuwapima kama wako makini na kazi zao. Maana ajali ya mwisho kutokea pale sikumbuki !! unaajiriwa pale airport fire rescue mpaka unastaafu hakuna ajali ya moto, so lazima washtuliwe kidogo wasije sinzia mazima !
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom