Ajali ya ndege?

Hata mimi nimesikia tena nimeambiwa na traffic wakati nipo kwente foleni magomeni na kwa mujibu wa traffic huyo (manadada) wala co ndege ya kibongo ni ya ughaibuni,mwenye vipashio zaidi atuweke wazi.
 
Hata mimi nimesikia tena nimeambiwa na traffic wakati nipo kwente foleni magomeni na kwa mujibu wa traffic huyo (manadada) wala co ndege ya kibongo ni ya ughaibuni,mwenye vipashio zaidi atuweke wazi.

Imesemekana ni fire rescue equipment testing.
 
Tunashukuru kwa kutujuza mkuu,ila kwanini walipakia abiria badala ya kuichoma moto hiyo ndege ili watest hivyo vifaa vyao?

Inawezekana wakafanyia TEST Ndege ya ughaibuni kweli? Ngoja niingie chimbo kidogo
 
Hata mimi nimesikia tena nimeambiwa na traffic wakati nipo kwente foleni magomeni na kwa mujibu wa traffic huyo (manadada) wala co ndege ya kibongo ni ya ughaibuni,mwenye vipashio zaidi atuweke wazi.
uvumi unaendelea kutembea, hadi sory ifike musoma, ishakuwa totaly different, kila mtu anaongeza lake kama story ya manyoya ya salender lol!
 
TBC just also reported the accident according to a friend..that the dead passengers have been transported and the injured to muhimbili...any further informations??
 
TBC just also reported the accident according to a friend..that the dead passengers have been transported and the injured to muhimbili...any further informations??

Naona habari za uhakika zinapatikana hapa hapa.. Inashangaza TBC wanatangaza uvumi ..
 
TBC just also reported the accident according to a friend..that the dead passengers have been transported and the injured to muhimbili...any further informations??

Sasa ndio kabisaaa mnatuchanganya!!! invisible kasema hivi, wewe vile duh, ngoja tusubiri kidogo tutapata jawabu
 
sasa ndiyo waangushe ndege? au ndiyo tuseme ni za kijeshi? kwanini serikali isiwe inatoa taarifa kwa wananchi kama wanafanya majaribio?

Kutoa taarifa kabla haifai kwa sababu wanatest response time na efficiency ya system.

Duh Afadhali. But naomba niulize. kwanini wanavitest wakati matukia ya ajali za moto tunayo Daily Mbona visiwe vinapelekwa huko practically? au hivyo ni kwaajili ya aiport tu?

Kwa mujibu wa sheria za viwanja vya ndege, kila kiwanja kinatakiwa kufanya majaribio kama hayo ili kujua uwezo (capacity) wa kiwanja husika. Hivi vipimo vinasaidia ku-grade kiwanja cha ndege. Maana yake ni kuwa kwa wakati mmoja ni ndege ngapi zinaweza kutua/kuruka pamoja na uwezo wa kiwanja kukabiliana na majanga.

Kuhusu TBC kutangaza pia inahusishwa na kuwa vyombo vya habari vinaweza vipi kushiriki katika kukabiliana na majanga kama hayo.
 
naona humujf tumevamiwa na walokole..
swali simple,uliweka tangazo la kutafuta mchumba.
je umefanikiwa?
alie kwambia mi nataka nikuchumbie nani??????
Huyu ndo bosi bana!!
Dirini kashasema juzi kuwa hakupata na hataki tena mchumba, amegairi.
Inawezekana alikutana na BED ATHLETISTS, powered by Valuu!!
 
Back
Top Bottom