Ajali ya ndege KIA

Jipange upya hata hueleweki ulikuwa unataka kusema nini!! hapa tunahitaji Taarifa na Habari za uhakika na kama unaona source yako sio reliable kaa kimya kuna member mwingine atakuja kupost habari inayojitosheleza.

Unatoa masharti hayo wewe kama nani?
Kwenye vyombo vya habari tena vya kulipia, habari mara kadhaa sio kamilifu sembuse hii uliyoletewa bure.
 
Nimeangalia kwenye Al Jazeera English.com hakuna kitu kama hicho kwa Qatar Air.Labda ni habari nyingine kabisa
 
Hamna ajari wanafanya simulation, kwa kawaida hata wafanya kazi wa uwanjani wanakuwa hawajui kuwa kuna simulation ya aina hiyo hivyo nao wanajua kuwa ni ajari ya kweli.

Qatar airways hawatui KIA unless wawe wapo kwenye distress situation, pamoja na hayo route wanazotumia hakuna inayopita KIA. Uwanja wa haraka kwao ni Mombasa na Zanzibar na sio KIA

So msipaniki ni mazoezi ya kawaida
 
Habarini,nasikia kuna ajali ya ndege imetokea KIA,tumekutana na magari yamebeba majeruhi kuuliza tukaambiwa ni ndege imedondoka,mwenye taarifa au mwenye uwezo wa kupata tafadhali atuhabarishe,
 
Unatoa masharti hayo wewe kama nani?
Kwenye vyombo vya habari tena vya kulipia, habari mara kadhaa sio kamilifu sembuse hii uliyoletewa bure.
Naongea kama Matola JF Premium Member.
Hii habari sijaipata bure maana unaponiona niko online basi ujuwe natumia pesa kuwa online na laptop yangu inahitaji umeme, kwahiyo na Tanesco pia wanaingiza pesa kwa muda huo huo kwa mimi kutumia umeme wao. so there is no free lunch in this world.

425631_2396586652321_1780640867_1495318_1004265339_n.jpg
 
Kuna post nayo, ambayo ni mtu ameuliza updates kama wewe, ungeifuatilia upate data.
 
Jamani kama ni kweli tupe habari, je ni ndege ya shirika gani, ilikuwa na watu wangapi, ilikuwa inatokea wapi, je imetokeaje, watu wangapi wamefariki na je kuna waliopona?

Akupe nani? its a hint tafuta/peleleza na wewe upate more details.Jf imekuwa namna hii sasa mtu anatupia vtu nusu/hint haf anasema "mwenye taarifa" zaidi atujuze!
 
Hilo ni shirika la ndege la nchi gani? au ulimaanisha Qatar Airways?

Mkuu sijawahi kuona huwa inaandikwa vipi ila nimejaribu kuandika nilichosikia, Asante kurekebisha. Hao
Jamaa wanafanya mazoezi ya emergency preparedness na huwa wanawapigia simu hospitali husika na kusema kuna majeruhi wajiandae kupokea na kuwapa marks kwa mshindi. Ni simulation kwa kizungu!
 
Hata hapa Dar es salaam huwa inafanyika kila mwaka, naifahamu vizuri hiyo kitu, kuna dege moja bovu lipo pale uwanjani huwa wanalijaza matairi na kulipiga moto then wanawapigia wote wanaohusika na dharura ili kupima response zao.
 
Sio mda wa ku2piana lawama, jeshi la polisi ltashuglikia tetesi hiz ndo mana ya rumours!Ila alopost ameposp pasipo stahil, cku nyngne 2we care kurelate posts na jukwaa hucka.
 
I am officially closing this thread. It was normal rehearsal which is done at least every after two years. I have just spoken to the ag dg ndugu bakari murusuri to confirm. Personally was dam shocked as am away so i could not be able to get the inside information so easily.

Big up jf.
 
Si kakupa sababu? Mbona unakuwa hauelewi?

discipline.

nyie mamod mnaopenda kufuta post na thread za watu
mbona mnaruhusu watu kutukanana yaani inakuwa personal? Kama hawa wa juu

na hii nimeiona sana sasa kama watu wa umri wachini mnataka sema hawajifunzi tabia mbaya humu jf?

Mie najua forum nyingi haziruhusu watu kutukanana kihivi.

Niambieni ma mod kama mie sielewi?
 
Paka jimmy tafadhali tunaomba utueleze kama hizi habari ni za kweli kwani najua wewe unahusika sana na mambo ya kia
 
nyie mamod mnaopenda kufuta post na thread za watu
mbona mnaruhusu watu kutukanana yaani inakuwa personal? Kama hawa wa juu

na hii nimeiona sana sasa kama watu wa umri wachini mnataka sema hawajifunzi tabia mbaya humu jf?

Mie najua forum nyingi haziruhusu watu kutukanana kihivi.

Niambieni ma mod kama mie sielewi?

Mkuu ulitakiwa ubonyeze Report Abuse/Post ili hatua ichukuliwe haraka! Hata hivyo itafanyiwa kazi!
 
Back
Top Bottom