ntamaholo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 12,906
- 6,909
wandugu,nilianzisha thread hapa na watu wakajadili kidogo ila ikafa. Ngoja nirudie nilichotuma wakati huo......
hii ni video maalumu kwa wale wote walioanza kuweka vimaneno vya kishamba humu ndani.
Sintawataja ila wanajijuwa na wanafahamu kabisa hayo maneno wameyaandika wapi.
Wamekuja na vijiswali vya kujifanya wanafahamu sana kumbe hawajui kitu.
Haya sasa, angaalieni hii video na tusikie mtasema nini....... Anaitwa barbara guerra.
ukisiliza 1:40, inasemwa wazi kabisa kuwa, gari halina modifiication yoyote kwa ajili ya vilema (disabled).
Mwingine huyu hapa, now what????
https://www.jamiiforums.com/habari-...hana-mikono-miguu-lakini-anaendesha-gari.html
umeshau kuwa kuna suala la training, mtu huchukua mda kufundwa hayo yote, sasa huyu kipenzi wetu anayetuletea majadala humu ndani imemchukua mda gani kuanza kumiliki gari kama sio baada ya kuingia kwenye siasa? Wenzio wanakuzwa hivyo, sisi bado hatujafika huko
Last edited by a moderator: