Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,735
naomba niweke kwenye kumbukumbuzangu kuwa hii ni tarifa mhimu kwangu...Mpk jana waliookolewa ni 750,maiti zimepatikana 263,na mudahuu wa saa3 asubuh meli yauokozi mv serengeti imeshusha maiti zaid ya 800 mm nipo hapa bandarini unguja hao maiti wameokotwa wakielea bado meli hawajaifikia iko ktk kinakirefu sana chini ya bahar,sasa kwamahesabu waliookolewa 750,mait zajana karibu 300 naleo zimepatikana maiti 800 sasa hapo ni hesabu 1850,serikali iache kudanganya watu.tunajionea kwa macho kila kitu hatudanganyiki.