Ajali ya Meli: SUMATRA, lawama kwa viongozi na suala la muungano

Kuwajibishwa kwa kiongoz tena wa ccm ni sawa oa ngamia kupenya kwenye tundu la sindano
 
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake apewe. Sasa Pinda ana mahusiano gani na Mamlaka ya Zanzibar? Hapa ndipo unaona uozo kwenye katiba yetu. Ni hawa hawa wenzetu wa Zanzibar hawamtambui Pinda. Sasa iweje awajibishwe kwa issues za Zanzibar? Si wanadai Zenji ni nchi huru na kiongozi wake, kwa nini wasiwawajibishe wahusika wa huko Zenji??

Pinda wala si mnyonge, ana watetezi wake waTanganyika.
Lakini Uswahili, Uvivu na kutojali(laisez faire) ya wenzetu huko visiwani imeanza kuua kwa kishindo.
Nahodha kaandikishwa visiwani
Meli inadhibitiwa visiwani
Biashara yenyewe na usafiri, wa visiwani
Na waliokufa wengi wa visiwani(Pemba)
Waliokataa udhibiti wa SUMATRA, wawakilishi wa visiwani
Leo ati lawama ziende kwa Mizengo Pinda, wailete meli Dodoma ili tuelewe.
 
Wakuu naomba kuwasilisha.

Hili la ajali ya boti ya mizigo na abiria MV Spice Islands inaelekea ilikuwa inasubiri tu kutokea.
Kama kumbukumbu zangu haziniangushi, aidha mwishoni mwa mwaka jana au mwanzoni mwa mwaku huu maofisa wa SUMATRA walifukuzwa , tena kwa kejeli kubwa.

Sababu ya kufukuzwa kwao ni kwamba suala la kusimamia safari za meli sio la Muungano, hivyo basi hawakuwa wanahitajika kule Zanzibar.
Ilikuwa aibu kubwa kwa taasisi yenyewe na serikali ya muungano.

Leo nashangaa kwamba Kamati ya Bunge , chini ya Edward Lowassa inaenda kuchunguza tukio hili. Ni kwa ridhaa ya nani?

Sisi na mimi nawahurumia sana wananchi wasio na hatia waliopoteza maisha yao kwa sababu za kijinga kabisa.
Ni lazima waTanganyika tuwaoe misaada yote inayohitajika kupoza makali ya ajali hii, lakini sikubaliani kuingilia dola linaloelekea kujitenga kwa sababu yoyote ile.

Tunajua fika uwezo wa wenzetu wa Zanzibar pamoja na uswahili uliokithiri. Kabla maafa zaidi hayajatokea katika sekta nyingine inabidi wajifikirie upya katika mtazamo mzima wa Muungano.
labada tuseme umekusudia tu kuongea kilicho moyoni mwako kuhusu suala la muungano. au pengine nikubaliane na wewe katika hili suala la tume kwa nini tume ya lowasa kwenda kufanya uchunguzi juu ya tukio hili...... ila suala la kwamba sumtra ingelikubaliwa kufanya kazi zanizbari basi ajali isingetokea siliafika kabiiiiiiiiiisaaaaaaa. kwani zanzibar mpaka kufikia kuwaondoa sumtra ujue kwamba kuna chombo kinachofanya kazi sawa na za sumtra hivyo walifanya hivyo ili kuondoa msongamano vya vyombo vya kikwete.

Hata hao the so called SUMATRA mbona wamekuwa wakilaumiwa sana tu na nyinyi mnaojiita wazanzib ara. ni ajali ngapi zinatokea za mabasi na magari ya abiria na ya watu binafsi. nni madereva wangapi wanapata haki zao kutoka kwa waajiri wao? wakati wao sumtra ndio wanaosaidia waajiri kuwanyonya madereva?

Bila kuficha sumatra ni miongoni mwa mafisadi mlitaka muendeleze ufisadi wenu zanzibar jamaa wakastukia issue na si vyenginevyo.
Tuseme tu ajali ni ajali wala hakuna ulazima wa tume ya lowasa kwenda huko kwani wanzanzibari wenyewe yalishawaishia hayo mambo ya tume ni ya kikwete na serikali yake. wazanzibari tunaamini kuwa yote yamepangwa na Mungu na hata ukimuhumu sijui nahodha wa boti hiyo haitasaisia kurejesha roho za watu sana sana utapelekea ufukara kwa familia yake tu.

kama umejisikia kukumbushia suala la muungano then fine. but nadhani ungestick katika hiyo tume rather than kuanza mambo ya kujitenga na uppuuzi kama huo.

si busara kuwa kama binti kwamba kila mzee anapokukosea unakumbusha ya toka uchumba hadi ya uzeeni. nafahamu hayo ni mawazo yako ila pia si busara kuanzisha vitu vya uchonganishi ambavyo mantiki yake ni ndogo sana kuliko uhalisia......... be back
 
.......... Director of Zanzibar Port Authority, Mustafa Aboud Jumbe distanced himself from blame(for not supervising as appropriate port and marine activities in Zanzibar), saying the authority was not responsible in overseeing marine transport services (passengers and cargo).

Speaking to our sister newspaper, Nipashe yesterday, Jumbe said “This is the duty of the Surface and Marine Transport Regulatory Authority (SUMATRA), which was established by the law to oversee marine and surface transport sectors.”
Sumatra stopped operations in Zanzibar after Members of the House of Representatives claimed that the authority was operating illegally, as marine transport services was not on the list of Union matters.
Efforts to get director of Zanzibar marine transport, Vuai Haji, did not bear fruit, as his mobile phone was not answered.
In July, this year, Minister of Communications and Transport, Hamad Masoud presented a special report in the House of Representatives, defending marine transport facilities in Zanzibar, saying they did not pose any threat to the lives of travellers.
The minister was responding to the growing public concerns, after seven ships plying Zanzibar developed technical faults.
SOURCE: THE GUARDIAN

Wakuu tunakumbuka wenzetu walivyo watoa mkuku SUMATRA huko Zenj.
Hili ni somo kubwa na MODS mmefuta sredi yangu ya kwanza, mwataka watu waendelee kufa?

It is natural for Zanjs to act emotional, kwani wao kila kitu ni inshaalah tu, watafika salama hata kama vyombo vyao vya kusafiria ni vibovu, Munyaz Mungu wao huwasaidia, sasa kama waliwafukuza, what was to be expected of it if not tragedy!
 
Sasa tunaaza kupata picha ni kwanini waziri wa mawasiliano na uchukuzi Zanzibar, ndugu Hamad Masoud(mbunge CUF) anapata kigugumizi kujiuzulu. Kumbe ndiye aliyeongoza fitina ya kuwatimua SUMATRA huko Visiwani Zanzibar na katika kikao cha Baraza la Wawakilishi akatetea matumizi ya boti,feri na meli mbovu!
 
labada tuseme umekusudia tu kuongea kilicho moyoni mwako kuhusu suala la muungano. au pengine nikubaliane na wewe katika hili suala la tume kwa nini tume ya lowasa kwenda kufanya uchunguzi juu ya tukio hili...... ila suala la kwamba sumtra ingelikubaliwa kufanya kazi zanizbari basi ajali isingetokea siliafika kabiiiiiiiiiisaaaaaaa. kwani zanzibar mpaka kufikia kuwaondoa sumtra ujue kwamba kuna chombo kinachofanya kazi sawa na za sumtra hivyo walifanya hivyo ili kuondoa msongamano vya vyombo vya kikwete.

Hata hao the so called SUMATRA mbona wamekuwa wakilaumiwa sana tu na nyinyi mnaojiita wazanzib ara. ni ajali ngapi zinatokea za mabasi na magari ya abiria na ya watu binafsi. nni madereva wangapi wanapata haki zao kutoka kwa waajiri wao? wakati wao sumtra ndio wanaosaidia waajiri kuwanyonya madereva?

Bila kuficha sumatra ni miongoni mwa mafisadi mlitaka muendeleze ufisadi wenu zanzibar jamaa wakastukia issue na si vyenginevyo.
Tuseme tu ajali ni ajali wala hakuna ulazima wa tume ya lowasa kwenda huko kwani wanzanzibari wenyewe yalishawaishia hayo mambo ya tume ni ya kikwete na serikali yake. wazanzibari tunaamini kuwa yote yamepangwa na Mungu na hata ukimuhumu sijui nahodha wa boti hiyo haitasaisia kurejesha roho za watu sana sana utapelekea ufukara kwa familia yake tu.

kama umejisikia kukumbushia suala la muungano then fine. but nadhani ungestick katika hiyo tume rather than kuanza mambo ya kujitenga na uppuuzi kama huo.

si busara kuwa kama binti kwamba kila mzee anapokukosea unakumbusha ya toka uchumba hadi ya uzeeni. nafahamu hayo ni mawazo yako ila pia si busara kuanzisha vitu vya uchonganishi ambavyo mantiki yake ni ndogo sana kuliko uhalisia......... be back

Tumeshaizoea hii modus operandi ya kizenji.
Mbivu zetu sote, mbovu zenu nyie wabara.
Hii ajali wala usimuonee Mungu katika hili , ni uzembe mwanzo mpaka mwisho.Na kama unaridhika na hiyo ajali kuwa suala lisiloepukika basi huo ni uchaguzi wenu ulio na walakin, na tutegemee mengi zaidi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom