Ajali ya Meli: SUMATRA, lawama kwa viongozi na suala la muungano

Still wanakwepa kugusa tatizo!!! Kama alikuta madudu bajeti yake ya kwanza kushughulikia ni ya Juni hii!
mIMI ATAKA AJIUZULU KWA SABABU YA JULAI 2011 ALITOA TAARIFA KATIKA BARAZA LA WAWAKILISHI AKIWAHAHAKIKISHIA WANANCHI KUWA USAFIRI WA MAJINI KATIKA ZANZIBAR NI SHWARI KABISA. KUMBE ALIIGA MTINDO WA CCM KUTOA TAARIFA BILA KUFANYA UTAFITI WA MATATIZO YALIYOPO.

WAPENDA MABADILIKO WOTE TUMKOMALIE HUYU NJAMAA AJIUZULU KWA KUWA MARA ZOTE YANAYOKEA MAJANGA KAMA HAYA TUMEKUWA TUKIDAI WATU WAJUIZULU NA WATU KUTOKA CCM KUPINGA SASA HAIWEZEKANI WALE TULIOKUWA NAO KATIKA KUDAI WENGINE WAJIUZULU NAO WAGOME KUJIUZULU. NATAMBUA KAMA MTU BINAFSI HAJAFANYA MOAKOSA YOYOTE KWA SI MTENDAJI LAKINI TUNATAKA KUJENGA UTAMADUNI MPYA.

Safi sana Mtatiro... Kiongozi inatakiwa uwe na confidence as such.

Hana lolote huyu kapima upepo toka jana tulivyokuwa tunadai kujiuzulu kwa huyu bwana,ndio anajifaragua sasa. Watamtosa kama alivyotoswa Nape Igunga.

Badala ya kuandika kwenye social forums, nadhani alipaswa kuliwakilisha kwenye forum zao ndani ya chama chao...halafu watupatie matokeo.
Sasa mimi nilalamikie huku kwenye social forum, na yeye naye alalamikie huku huku...iwapi tofauti ya mimi na yeye ndani ya cuf?
Siye mtu wa pili huyu au watatu niseme hivyo, kwa Ubossi katika Cuf...?
Anamlalamikia nani sasa!

Aibu naibu katibu mkuu wa chama, msomi na kada anaandika hivyo. Kweli mchawi atajifiiiiicha weee lakini akianza kuzeeka atajionyesha kuwa mchawai kila mtu atajua.

Watu walishasema kuwa kijana pale kawekwa kama boya, akawa mkali kweli. Sasa yeye mwenyewe kwa mkono wake katudhihirishia. Asante Julius

Safi sana Mtatiro... Kiongozi inatakiwa uwe na confidence as such.

hahaaa haaaaa Confidence kwenye Facebook????
Aitishe press conference na waandishi wa habari aongee live. Inawezekana huko face watu wame hack account yake na ku post hii habari, CUF kwisha habari yao, maana enzi hizo kabla ya hii ndo haramu ikitokea janga zito kama hili Lipumba alikuwa wa kwanza kutaka viongozi waandamizi kujihudhuru leo hii kajificha Igunga hajatoa tamko lolote.

Mtatiro anajivua nguo mchana kweupe njiapanda! Huwezi kutafuta cheap popularity kwa mtindo huu. Nijuavyo mimi yeye ni mmoja wa viongozi wakuu wa chama chake. Badala ya kushughulikia hili ki-chama anatulilia kwenye facebook, ili iwe nini! Aibu.

Chama cha wananchi CUF kimesema kuwa kitaishtaki serikali kutokana na uzembe uliosababisha ajali ya meli,Mbunge wa Ole Rajabu Mbarouk amesema kuwa pamoja na kuishtaki serikali lakin pia atapeleka hoja binafsi bungeni ili Waziri Mkuu Pinda awajibishwe kwa uzembe......
My take;mim naomba wataalam wa sheria na mambo ya kisiasa na yeyote mwenye weledi wa mambo haya anisadie tu,serikali ya jamhuri itashtakiwa kwa sababu zipi????je kwanini isishtakiwe SMZ,,,,,?????na je hiyo hoja binafsi kwanini isimhusishe waziri kiongozi au yule wa miundombinu?????hapa ndipo pananitatiza mimi,,,,,,

Baj, labda kwanza tunatakiwa kujua wizara ambazo zipo kwenye muungano ni zipi? Na kwa nini katajwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, asitajwe kiongozi mwingine.
Hii Meli ilipata usajiri wake wapi? na Waziri wa Miundombinu anausika na mambo ya Zanzibar? Maswali ni mengi sana

Chatu,,,zanzibar wana waziri wa miundo mbinu hata jana nilimsikia bbc,,,,,swahili,lakini niliwai sikia kuwa meli ilisajiliwa bara,sina hakika sana,,,,,jambo linalonshangaza ni kumtaja pinda kwa sasa
Baj, labda kwanza tunatakiwa kujua wizara ambazo zipo kwenye muungano ni zipi? Na kwa nini katajwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, asitajwe kiongozi mwingine.

Hii Meli ilipata usajiri wake wapi? na Waziri wa Miundombinu anausika na mambo ya Zanzibar? Maswali ni mengi sana

Chatu,,,zanzibar wana waziri wa miundo mbinu hata jana nilimsikia bbc,,,,,swahili,lakini niliwai sikia kuwa meli ilisajiliwa bara,sina hakika sana,,,,,jambo linalonshangaza ni kumtaja pinda kwa sasa;
Labda katajwa sababu yeye ndio kiongozi wa serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Tusubiri tuone upande wa pili watajibu nini!

Chama cha wananchi CUF kimesema kuwa kitaishtaki serikali kutokana na uzembe uliosababisha ajali ya meli,Mbunge wa Ole Rajabu Mbarouk amesema kuwa pamoja na kuishtaki serikali lakin pia atapeleka hoja binafsi bungeni ili Waziri Mkuu Pinda awajibishwe kwa uzembe......
My take;mim naomba wataalam wa sheria na mambo ya kisiasa na yeyote mwenye weledi wa mambo haya anisadie tu,serikali ya jamhuri itashtakiwa kwa sababu zipi????je kwanini isishtakiwe SMZ,,,,,?????na je hiyo hoja binafsi kwanini isimhusishe waziri kiongozi au yule wa miundombinu?????hapa ndipo pananitatiza mimi,,,,,,

Huyo mbunge anamlinda nani? Kama ni hoja binafsi basi anatakiwa apeleke Baraza la Wawakilishi lakini sio kwenye Bunge la Muungano. Miaka yapata 3 hivi Sumatra walipigwa mararufuku kufanya kazi Zanzibar na kama nakumbuka vizuri kipindi hicho Sumatra walikuwa wanaongelea MV Serengeti kutakana na ubovu wake. Zanzibar ilisimama kidete na kusema Sumatra haina mamlaka Zanzibar.

Pili, baada ya Baraza la wawakilishi kubadilisha katiba na kuifanya Zanzibar kuwa nchi kamili, Mh Ole Rajab Mbarouk anaweza kutuambia nafasi ya Waziri Mkuu ni ipi? Kazi za Waziri Mkuu kwa upande wa Zanzibar ni zipi hasa chini ya hii serikali ya umoja wa kitaifa? Pia kwa nini arukie Waziri mkuu na sio Waziri wa uchukuzi wa Zanzibar? Nani amemtuma huyu Mbunge? Narudia, Mh mbunge anamlinda nani?

CUF wanataka kuishitaki Serikali ya Muuungano au ya Mapinduzi ya Zanzibar? Kama ni ya Mapinduzi ya Zanzibar CUF si sehemu ya hiyo serikali?

Hapa ndipo napopata utata
CUF wanataka kuishitaki Serikali ya Muuungano au ya Mapinduzi ya Zanzibar? Kama ni ya Mapinduzi ya Zanzibar CUF si sehemu ya hiyo serikali?

Hiki kitu nshawai kukiskia
Huyo mbunge anamlinda nani? Kama ni hoja binafsi basi anatakiwa apeleke Baraza la Wawakilishi lakini sio kwenye Bunge la Muungano. Miaka yapata 3 hivi Sumatra walipigwa mararufuku kufanya kazi Zanzibar na kama nakumbuka vizuri kipindi hicho Sumatra walikuwa wanaongelea MV Serengeti kutakana na ubovu wake. Zanzibar ilisimama kidete na kusema Sumatra haina mamlaka Zanzibar.

Pili, baada ya Baraza la wawakilishi kubadilisha katiba na kuifanya Zanzibar kuwa nchi kamili, Mh Ole Rajab Mbarouk anaweza kutuambia nafasi ya Waziri Mkuu ni ipi? Kazi za Waziri Mkuu kwa upande wa Zanzibar ni zipi hasa chini ya hii serikali ya umoja wa kitaifa? Pia kwa nini arukie Waziri mkuu na sio Waziri wa uchukuzi wa Zanzibar? Nani amemtuma huyu Mbunge? Narudia, Mh mbunge anamlinda nani?

Hawezi kuthubutu kuleta hoja hiyo Bungeni. Ataibua maswali ya Muungano, ambao nimegundua Wazanzibar wanauhusudu kuliko sisi. Kumbuka Tundu Lissu alipowatingisha bungeni, waZanzibar walivyoanza kulia wakidai wanautaka Muungano. Wazanzibar watakuwa wameshapata somo kwamba Bungeni sasa hivi kuna vidume havitaki ujinga kuhusu Muungano, na kwamba wakileta chokochoko Bungeni bomu la kuvunja Muungano linaweza kulipuka.

Wakuu, nime-quote habari kwenye website ya gazeti la mwananchi kama inavyoonekana hapa chini:

"Mbunge wa Ole, Rajab Mbarouk alisema anakusudia kupeleka hoja binafsi bungeni ili kumwajibisha Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kwa tukio hilo"

HOJA YANGU:

Waziri wa Miundombinu wa SMZ kwanini anaachwa, ila Pinda ambaye wazanzibari hawamtambui wanataka awajibishwe? Wao si waliikataa SUMATRA?

Pinda ni wa CCM na Majority ya wabunge ni wa CCM - Sahau kitu kaa hicho ndugu yangu -- yaani waBunge limwadhibu boss wao? si Tanzania hii. Mambo yameshaisha hayo, tumemwachia mwenyezi mungu na tumeshawapa pole wafiwa na rambirambi bado tunatoa. sasa haya ya kuwajibishana ndugu yangu yanatokea wapi tena?

Wakuu, nime-quote habari kwenye website ya gazeti la mwananchi kama inavyoonekana hapa chini:

"Mbunge wa Ole, Rajab Mbarouk alisema anakusudia kupeleka hoja binafsi bungeni ili kumwajibisha Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kwa tukio hilo"

HOJA YANGU:

Waziri wa Miundombinu wa SMZ kwanini anaachwa, ila Pinda ambaye wazanzibari hawamtambui wanataka awajibishwe? Wao si waliikataa SUMATRA?

Mkuu habari hiyo haiwezi kuwa fupi kama hivyo. Ongeza tujue ni kwa nini aseme anataka kumwajibisha Pinda?

Wakuu, nime-quote habari kwenye website ya gazeti la mwananchi kama inavyoonekana hapa chini:

"Mbunge wa Ole, Rajab Mbarouk alisema anakusudia kupeleka hoja binafsi bungeni ili kumwajibisha Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kwa tukio hilo"

HOJA YANGU:

Waziri wa Miundombinu wa SMZ kwanini anaachwa, ila Pinda ambaye wazanzibari hawamtambui wanataka awajibishwe? Wao si waliikataa SUMATRA?
Hawa tushawazoea ati
Kutufukuza na kutuchoma moto Zanzibar ni kila siku, na leo maafa bado sie twawajibika.
Ndo tabia za visiwani hizo.
Na wakisha wafukuza wabara wote bado watawashitaki kwa nini mashamba yao hayalimwi na wanakufa kwa njaa!!!!!

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom