Ajali ya Meli: Maoni na mtazamo wa wananchi kwa yaliyojiri

Kwa nini Mengi na timu yake tu, kwani wao ndio watanzania pekee?.,hebu anza wewe Pdidy na wengine watafuatia., sio kila kitu mpaka tungoje fulani afanye tu, msiba sio wa Mengi tu bali ni wa Taifa zima.
 
Mkapa ndio ana gundu hilo, alipoingia madarakani tu meli ya M.v Bukoba ikazama , sasa wamempeleka Igunga hii nayo ikazama. aiseee!
 
Nilikuwa sina taarifa hii naangalia news CNN nikaona wanabreak news about Tanzania nikaona niweke TV ya Taifa, nakutana na watoto wanaimba kwaya

Hivi hii TV ya taifa inayoendeshwa na my PAYE ina faida gani jamani ?

Poleni wafiwa, its national mourning and I hope the pageant(sp) will be postponed

u've spoken my heart, hata mi huwa nawashangaa sana tbc, utakuta issue serious kabisa wao wanaonyesha ki;e kipindi cha cha taarabu, au kile cha chereko, vipindi vya kipuuzi kabisa
 
si hawatutaki huko zenji wanachoma biashara zetu moto. so kwa vile u miss zenji hauwahusu km biashara ya pombe sisi tutaendelea tu!
 
Ukiona hivyo kama ni ndoa USHACHOKWA
Nakumbuka MV Bukoba bendera ilishushwa nusu mlingoti na TV zilionyesha vipindi vya live japo kuwasiliana kwa simu na eneo latukio. Hii ya Zanzibar imechukuliwa poa na vyombo vyetu vya habari mfano leo vyombo vyetu asubuhi wakionyesha katuni BBC na Al Jazeera walikuwa wakitoa exclusive news kutoka eneo la tukio inasikitisha sana wakuu.
<br />
<br />
 
Argh! 192 confirmed dead by Zanzibar police!| Mungu awalaze mahala pema ndugu zetu na awape nguvu ktk muda huu mgumu wafiwa [( Source Sky News)
 
Nimemsikia mtangazaji wa channel ten akisema watu waliokufa ni 180 huku maandishi kakionesha ni watu 150 baada ya muda mfupi akawekwa IGP akasema waliokufa ni 62 na ndio akafunga habari zinazohusu ajali ya meli
Source: Channel Ten
 
Wakuu nimestaajabishwa sana na hili hasa kwa upande wa TV stations ikiwa za nje zimeweza kuujuza ulimwengu kwanini TV stations zetu hawana updates/wamechelewa kutuletea updates zaidi ya kutuonyesha cartoons na maandishi kupita kwa chini? Au wapo busy na Miss Tanzania? Inasikitisha sana.

Nasikitika Prof Ibrahim Pumba wa CUF hajatuma salam za rambi rambi!
 
Ivi ndugu zangu imekuaje vyombo vyetu vya habari kushindwa kuonyesha au kutangaza 'live' tukio la kuzama kwa meli Zanzibar badala yake kuonyesha vipindi vya watoto,tamthilia na/au taarab.Hivi ni uzalendo au? Uku radio uhuru ikitangaza mkutano wa kampeni igunga 'live'
 
Mkuu Zanzibar siyo sehemu ya Tanganyika ndio maana hatujazipa umuhimi hizo habari. Mambo ya wazenj tuwaachie wenyewe. Kwanza mambo ya media siyo ya muungano.!
 
Wako busy na uzinduzi wa kampeini za CCM Igunga. TBC imetia aibu sana. Nimemkumbuka Tido Muhando.
 
Serikali ya mapinduzi zanzibar imepiga marufuku shughuli zote za michezo na burudani na kutangaza maombolezo ya siku tatu. Katika kipindi hicho bendera itapepea nusu mlingoti. Hii imetangazwa na rais wa serikali hiyo Dr Shein.

Kwa mujibu wa radio one sports leo
 
Nasikitika Prof Ibrahim Pumba wa CUF hajatuma salam za rambi rambi!
Mkuu....mchokozi wewe!? Anyway TBC1 ni mali ya ccm kwa ajili ya propaganda tu....maana kama ccm wangekuwa na
mkutano wa hadhara pale jangwani basi hawa tbc wangerusha live,lakini si majanga ya kitaifa kama hili la leo
 
Hivi Dr Slaa, na Mbowe mbona wapo kimya au huu msiba si wao!
 
Hata kama meli iliyozama ni toka nchi jirani ya Zanzibar,lakini inawezekana hata wenzetu humu JF ambao wanaonyesha hawajari kilichotokea Nungwi usiku wa kuamkia leo,wakajikuta ndugu ama jamaa zao wa karibu walikuwemo ktk hiyo meli. Tusifanye mizaha ktk kifo!!
 
Back
Top Bottom