CAMARADERIE
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 4,419
- 1,920
toba mpo wengi kumbe....yani uchangishe watu hela kwenda kumnunulia mtu binafsi vitu ambavyo ni jukum lake kuwa navyo ili apate licence ya biashara, mamlaka ya ushafirishaji iliwapaje leseni wakati hawakuwa na vigezo. ingesound kama ungekua ni usafiri wa serikali lakini sio wa mtu binafsi ambae anauwezo wa kununua meli atashindwaje kununua boya???
Huyo ndiye Ruge aka Mwita25