Ajali ya Hiace Arusha - Njia panda Airpot

Mzee wa Rula

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
8,171
3,346
Leo hii kumetokea ajali ya hiace eneo la njia panda Airport Arusha, chanzo cha ajali hiyo ni loli lililokuwa linaovertake kutaka kugongana uso kwa uso na hiace hiyo kisha dereva kulipeleka porini baada ya breki zake kushindwa kufanya kazi. Nimefanikiwa kupata picha chache lakini baadae nitaweka video ya tukio hilo. Katika ajali hiyo hakuna mtu aliyekufa lakini kulikuwa na majeruhi wawili watatu ambao kwa macho hali zao siyo mbaya.

Photo0144.jpg
Dereva wa hiace akiwa haamini kilichotokea, hapa anajiuliza hivi kweli nimeponaje ponaje hapa?

Photo0142.jpg
Picha ya mbele ya Hiace hiyo kama inavyoonekana,
Photo0143.jpg
Hiace hiyo ilikuwa siyo ya Arusha - Kisongo hivyo kuonekana moja kwa moja ilikuwa imeiiba njia.
 
Last edited by a moderator:
Duh! MUNGU awape nguvu majeruhi wapone mapema na waendelee na ujenzi wa Taifa le2! Na bila shaka hilo gari ni hz kuukuu zinazoenda kwenye morama pale Kisongo.
 
Leo hii kumetokea ajali ya hiace eneo la njia panda Airport Arusha, chanzo cha ajali hiyo ni loli lililokuwa linaovertake kutaka kugongana uso kwa uso na hiace hiyo kisha dereva kulipeleka porini baada ya breki zake kushindwa kufanya kazi. Nimefanikiwa kupata picha chache lakini baadae nitaweka video ya tukio hilo. Katika ajali hiyo hakuna mtu aliyekufa lakini kulikuwa na majeruhi wawili watatu ambao kwa macho hali zao siyo mbaya.

View attachment 39495
Dereva wa hiace akiwa haamini kilichotokea, hapa anajiuliza hivi kweli nimeponaje ponaje hapa?

View attachment 39496
Picha ya mbele ya Hiace hiyo kama inavyoonekana,
View attachment 39497
Hiace hiyo ilikuwa siyo ya Arusha - Kisongo hivyo kuonekana moja kwa moja ilikuwa imeiiba njia.

Ahsante Mzee wa Rula kwa hii taarifa, huyo dreva wa lori lililo sababisha ajali amekamatwa ua ndo amekimbia???????????
 
Last edited by a moderator:
a nMmmmhh!!!!!!!!!! Yaonekana kweli si ya njia hiyo na bila shaka walikuwa wanachangamkia njia isiyokuwa sahihi. Kwa kweli hapo ndipo panapokuwaga hapatoshi kati ya dereva na tajiri maana matajiri wengi wa hapa A town ninavyowajua hakika wanahusudu shilingi kushinda UTU wa mwanadamu,Nazidi kusema poleni sana waliopatwa na majeraha na MUNGU atawapa nguvu mapema tu.
 
Back
Top Bottom