Ajali ya gari ndogo..

Chief

Platinum Member
Jun 5, 2006
3,291
2,619
Gari aina Nissan T346 BZC Xtrail ikielekea Mwanza imepata ajali muda si mrefu hapa Chikuyu karibu na Manyoni. Ilikuwa na wanaume wawili na binti mmoja mdogo. Wanaume wameumia vibaya sana wamepelekwa Kilimatinde Hosp. Binti ametoka mzima. Nimeshindwa ku-upload pics
 
Yap New numbers!! Lack of Long safari driving experience? Or Tyres had already expired as it was idle for long time!! Hence Burst? Mungu awaponye haraka!!
 
Back
Top Bottom