ajali ya basi tena!

CharmingLady

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
18,250
12,868
watu 12 wafariki papo hapo katika kijiji cha makore - bagamoyo. MWENYE HABARI KAMILI ATUJUZE
source. ITV
 
Pia wengine 25 wajeruhiwa na kukimbizwa muhimbili, mabasi mawili ya Kenya na malori manne yamehusika katika ajali hiyo. Pia mabasi matatu makubwa njia ya Morogoro Dodoma yapata ajali, source TBC: abiria tukemee madereva mwendo kasi, trafiki fanyeni kazi zenu, rushwa ni hatari! Tutakwisha!
 
nyingine tena. watu 45 wamejeruhiwa kufuatia ajali iliyohusu mabas matatu. Allys, shabiby na Sumry!
 
Back
Top Bottom