Ajali ya basi na gari dogo Mazizi

Ajali hiyo imehusisha gari la Airbus na gari dogo aina ys Suzuki nyekundu. Dereva wa gsri dogo amepoteza maisha na pia kuna toyo pembeni.agari yote yameanguks pembeni
 
Huko Mazizi ni wapi jamani?? Nii sehemu ya hapa hapa Dar es Salaam??
 
Juz juzi tabora, ikafuata wami, leo msata na mazizini. Ni kwa sala na maombi hii laana yaweza toweka.
 
Kuna mtu karipoti ajali ya Msata nafhani tumeripoti kifu kimoja ingawa tumetsja marneo tofauti. Kwa mujibu wa wenyeji eneo ni Mazizi. Nimeshindws kuandika vizuri kutokana na kuwa kwenye gari ns mtsndao kukstika.
 
Unapotaka kuhabarisha umma punguza haraka, ongeza umakini wa kiuandishi ili utoe habari iliyokamilika. Usipokuwa makini unaweza jikuta umeandika tusi.
 
Back
Top Bottom