Ajali ya Basi la Tashirifu leo

Kamongo

JF-Expert Member
Mar 20, 2009
1,947
2,054
Basi la Tashirifu limepata ajali maeneo ya picha ya ndege leo saa 10 jioni lilikuwa linatokea Tanga majeruhi ni wengi wako tumbi wengine wamepelekwa Mhimbili,cha ajabu kondakta wa basi alikuwa anaziba jina la basi ubavuni kwa makaratasi,ili tusijue ni basi gani lililopinduka,
 
Sijawahi kuona wala kusikia dah hiyo kali,ila wale wote walio patwa na majeraha mungu awape nguvu.
 
Mkuu nimeliona wala shm lililodondoka siyo pabaya kivile,
 
Inawezekana kabisa Sumatra washalipiga marufuku ndio maana wanaziba utambulisho wake
 
Walio jeruhiwa nawaombea kwa mola muumba awape uzima haraka. AAMEEEN !!!
 
ni kweli kabisa juu ya ajali hiyo, tulikuwa tunaongozana na basi hilo mimi nikiwa kwenye BM coach toka morogoro, basi hilo liliacha njia na kupinduka baada ya kuchomekewa na gari lingine, kwa mbele kwa ghafla na dereva alishindwa kulimuda ikabidi aingie kushoto na kwenda na kulalia ubavu.
 
Mungu awasaidie Majeruhi wote wapone.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom