Ajali wami

tumeanzisha taasisi watu wale pesa sio kutekeleza majukumu yao sumatra ingefutwa tu maana haina maana ikiwa mabasi mabovu yamejaa barabarani tele, leseni magumashi tele, mapolisi wapo barabarani kutafuta pesa na sio kutenda inavyowapasa ili mradi tu mambo yanaenda.

na uzembe wa madereva umezidi mashindano yasiyo na sababu barabarani, pombe,na mengine mengi kweli kwa namna hii tutakishwa
 
Ee Mungu muumba mbingu na nchi, na vitu vyote vinavyoonekana na visivyoonekana, utuhurumie! Mungu azilaze roho za marehemu wote mahali pema peponi, Amina!
 
Back
Top Bottom