Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,206
- 42,068
Ajali ya lori lililo kuwa lime beba contena likitokea kibaha, limehama njia na kugonga tax pale ubungo stand, hata hivyo watu walio kuwa kwenye tax walipata msaada wa wasamalia wema na kutolewa wakiwa hai japo wamepata majeraha kidogo!
Dereva wa lori ilibidi akimbie kusiko julikana kwa kuhofia kupata kichapo kutoka kwa wananchi wanao pewa sifa kuwa wana hasira.
Ajali hii imetokea mida saa moja jioni.
Shukrani zangu kwa serikali kwani kuwaondoa wafanya biashara kume epusha mengi kwani leo tungekuwa tuna ongea mengine maana lori limefungia break kule ambako wafanya biashara wlikuwa wakipanga bidhaa kabla ya kuwa ondoa.
Namshukuru mungu pia kwani wakati lori limeacha njia magari ya upande wa pili yalikuwa hayajaruhusiwa kupita.
"Mungu ni mwema wakati wote"
source: Eneo la tukio