UncleBen
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 9,598
- 11,993
Ndugu yangu hii nchi mifumo yake yote imeoza ,sio mwananchi wala serikali wote hatupendi kufuata sheria ,kuna baadhi ya nchi kupata driving license ni ishu lazima ufuate utaratibu waliojiwekea ,hapa kwetu mtu hata hajawahi kuendesha Lori anapewa leseni class E na polisi wanaandika katestiwa na Fuso wakati amejifunza na VITS tena Automatic unategemea nini