Ajali nyingine...

Mpaka hapo "askari wa usalama barabarani" watakapohakikisha kwamba waendeshaji wote wanazijua na kuziheshimu sheria za barabarani, wamehitimu kuendesha kihalali na wana leseni zinazotambuliwa, wanaendesha magari ambayo yana sifa ya kuwepo barabarani na pia barabara zetu kuwa na upana unaokubalika. Watanzania tutaendelea kupoteza maisha kwa idadi kubwa kila mwaka. Mwenyezi Mungu azilaze roho za marehemu mahalipema peponi~AMEN.
 
Niliandika hivi Feb 8:



Feb 4: niliandika hivi:



Ilipofika Feb 9 kulikuwa na ajali za moto kubwa huko US, SA na moto wa jengo sijui la watu gani pale Dar..

Jan 19 niliandikia hivi:



By Feb 9 kulikuwa na ajali iliyoua huko Brazil, Feb 13 ajali ya ndege Buffalo NY, Feb 25 ajali ya ndege Uholanzi (watu 9 walikufa), March 10 ndege ya Ukraine huko Uganda imeanguka na kuua 11, by Mach 23 watu 17 wamekufakwenye ajali ya ndege huko Montana, US



...

Mzee wangu, naona sasa unapiga below the belt. Ajali, moto, fujo, vita, vifo NI PART YA MAISHA. Vitu hivi vinatokea kila sekunde maishani isipokuwa tu haviandikwi. Visipotokea Tz basi vinatokea kwingineko.

Mkuu, you can do way much better than this.
 
Kuna habari kuwa kuna ajali nyingine zimetokea hadi hivi sasa vyanzo vinadokeza watu 6 wamepoteza maisha. Hili wingu hili.. lazima lifikie kilele kwa kuondoka na mtu apendwaye au mashuhuri...
Mwanakijiji, hii habari umeandika unakimbia au namna gani? Ajali imetokea wapi, imehusisha magari gani na imesababishwa na nini? Tupe full data basi!!
 
Mzee wangu, naona sasa unapiga below the belt. Ajali, moto, fujo, vita, vifo NI PART YA MAISHA. Vitu hivi vinatokea kila sekunde maishani isipokuwa tu haviandikwi. Visipotokea Tz basi vinatokea kwingineko.

Mkuu, you can do way much better than this.

I know.. it just happen that mwezi huu wa tatu unaoisha umesikia wapi ajali nyingi za moto? angalia kati ya mwezi wa pili na huu wa tatu ajali ngapi za ndege zimetokea. Nikikuambia kuwa hakutakuwa na ajali ya kubwa ya ndege for the next 2 months utasema nimekisia tu? (sisemi kwamba hazitakuwako).. I don't kama yana ukweli ninayosema au nakisia tu kwa sababu kama unayosema.. it is simply weird. You haev to go back a little bit few years and you'll see if it is purely guess luck or something beyond rational explanation?
Hata ukinibana mimi mwenyewe siwezi kuelezea wala kujitetea..
 
Sasa hapo wakulaumiwa ni KIKWETE??

Ahh this too much. Mliwekewa gavana mkawa mnazichomowa wenyewe .Duuu haya ni maajabu.

Kuna siku humu mtu atabaka mtoto, harafu asingiziwe Rais.Mambo mengine yamo ndani ya uwezo wa wananchi wenyewe.
Hii inafanana siku ile serikali ilipowahamisha kwa nguvu wananchi kutoka mabondeni, watu wakapiga kelele wee inawaonea ,watu wakagoma wee serikali ikawaacha wakaishi. Na mafuriko yalipofika yakawakumbuka, tena serikali ikalaumiwa .

Poleni wafiwa na majeruhani, waliotangulia mavumbini sote ndo tunaelekea Mungu awarehemu.
 
Ajali ya Sumry ipo kwenye (Shigo-NGO-NGO-NGOOOO web...na imetokea tangu JUZI kwa muda huu kwa sasa ni Tanzania ni saa 10 kasoro)
 
Kuna habari kuwa kuna ajali nyingine zimetokea hadi hivi sasa vyanzo vinadokeza watu 6 wamepoteza maisha. Hili wingu hili.. lazima lifikie kilele kwa kuondoka na mtu apendwaye au mashuhuri...

i thought u were looking for a scientific solution. This comment does not sound so scientific. Tupende tusipende...CCM wameiuza nchi kwa shetani. There i said it! We have to claim our country back!!!
 
I know.. it just happen that mwezi huu wa tatu unaoisha umesikia wapi ajali nyingi za moto?

Mkuu wewe na mimi tunajuwa fika kwamba lack of evidence doesn't necessarily mean absence of evidence. Wewe na mimi tunajuwa kwamba sio ajali zote za moto duniani zinaandikwa kwenye media ambazo mimi na wewe tuna access nazo. With all due respect Mkuu, this is your lowest point in JF. Ungekuwa mwanasiasa ningesema hapa umepata "ajali ya kisiasa" (ref: JK's response to EL's resignation).

Nikikuambia kuwa hakutakuwa na ajali ya kubwa ya ndege for the next 2 months utasema nimekisia tu? (sisemi kwamba hazitakuwako)..

My friend, mbona sielewi ulichokusudia kusema hapa! Mana sentensi ya kwanza inatabiri kutokuwapo kwa ajali kubwa za ndege for the next two months, na sentensi ya kwenye mabano ina negate utabiri wa kutokuwako na ajali.

All in all mkuu naona unakosa kanuni za utabiri; kusema kwamba hakutakuwa na ajali kubwa za ndege in the coming two months SIO UTABIRI bali ni ukweli ulio base kwenye probabilities na ndio mana tunapanda ndege kila kukicha. ILA kusema kwamba KUTATOKEA ajali kubwa ya ndege in the coming two months ni UTABIRI mana unapingana na hali ya kawaida...Tena ukisema kutakuwa na ajali kubwa ya ndege LAZIMA USEME ITATOKEA WAPI na ikiwezekana shirika gani, mana husibahatishe.

I don't kama yana ukweli ninayosema au nakisia tu kwa sababu kama unayosema.. it is simply weird.

Hapana wala haukisii, bali unasema vitu ambavyo vinatokea kila dakika na kila sekunde. Wala hautabiri bali unatuambia matokeo yanayotokea. Mfano kusema kutakuwa na fujo kubwa mwezi huu sio utabiri kwani yawezekana hapa tunaposema tayari kuna fujo ambayo haija ripotiwa na kuna nyingine ambayo inakaribia kuripotiwa. Again, fujo, vita, ajali, vifo na matukio mengine vinatokea kila siku ya mungu, isipokuwa tu sio kila tukio linaelezwa. Ajali za ndege ndogo ya watu 2-4 zinatokea mara nyingi tu kwenye nchi zilizoendelea lakini dunia haiambiwi.

You haev to go back a little bit few years and you'll see if it is purely guess luck or something beyond rational explanation?

Of course few years ago is not today. It could be few years ago there were fewer planes flying, or fewer cars on the road, or fewer/more cruel people or fewer media reporting every undesirable events, etc...all these mean the past incidents can't be necessarily matched to those of present and the future.

Bottomline: ukisema kwamba rais wa marekani atakufa SIO utabiri kwa sababu kila mtu lazima afe; ukisema rais wa marekani atakufa mwezi ujao HUO ni utabiri kwasababu una beat the odds when it comes to time. Sasa ukirejea kwenye tabiri zako zote utajuwa naongea nini.
 
Mkuu sitaki kuamini kwamba ulishawahi kupata tuition kwa mzee yahaya huseni pale migo migo. Kuna siku tutajipanga foleni kuja kwako kuulizia fate zetu

Je kuna any clue zaidi ya uliyotoa hapo juu??
 
Mbona habari bado haiko clear ..ajali wapi ? mpaka sasa bado info kamili hazijapatikana au ?
Huu mwaka wa uchaguzi naona sasa tunatakiwa tuanze kufunga na kuomba kukemea nguvu za giza zinamwaga damu zetu
Hivi mnatutoa kafara????sitaki kuamini
ooh God
 
Kuna habari kuwa kuna ajali nyingine zimetokea hadi hivi sasa vyanzo vinadokeza watu 6 wamepoteza maisha. Hili wingu hili.. lazima lifikie kilele kwa kuondoka na mtu apendwaye au mashuhuri...

Tumeshazoea kufanya kazi ya Zimamoto. Mpaka siku ajali itokee kwenye presidential motorcade ndio hatua zinazofahamika tangu enzi za Zinjanthropus zichukuliwe.
 
i thought u were looking for a scientific solution. This comment does not sound so scientific. Tupende tusipende...CCM wameiuza nchi kwa shetani. There i said it! We have to claim our country back!!!
Kwa hiyo Nchi inatawaliwa na shetani!!!!!!
 
Kwa hiyo Nchi inatawaliwa na shetani!!!!!!

Ulikuwa hujui? Kama ungeweza kuwafuatilia wana-siasi wote hasa katika hichi kipindi cha uchaguzi uone wanaenda wapi usingeuliza!! Tz is a lost hope!
Alafu kuna topic hapa iliongelea juu ya comment ya Mwakasege aliyosema juu ya Haiti! Watu wakapiga kelele we! Wanajiita wanasayansi!hahahaha.
Kama hujui nchi inaweza kuuzwa, sijui nikusaidiaje tena!Kila siku mnazungumza matatizo hayo hayo! Umeme, maji, Ufisadi, nk! Tatizo sio kwamba hatuna watu waliosoma. Hata mkieka waliosoma (mfano: Chenge) matatizo yatabaki pale pale! What we need is beyond a change of govt! enuff said!
 
Back
Top Bottom