Ajali nyingine...

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,475
39,988
Kuna habari kuwa kuna ajali nyingine zimetokea hadi hivi sasa vyanzo vinadokeza watu 6 wamepoteza maisha. Hili wingu hili.. lazima lifikie kilele kwa kuondoka na mtu apendwaye au mashuhuri...
 
dah
Mungu atunusuru maana hii sasa ni mlipuko wa ajali. itafika mahala tutaziweka karantini barabara zetu zisiendelee kuua
 
Kuna habari kuwa kuna ajali nyingine zimetokea hadi hivi sasa vyanzo vinadokeza watu 6 wamepoteza maisha.. stay tuned.. hili wingu hili.. lazima lifikie kilele kwa kuondoka na mtu apendwaye au mashuhuri...

Duh!, I know wewe si mtabiri kama Sheikh wa migomigo, Ila kwa kutumia ka-inzi nahisi something fishy is in making to legitimize what will happen to "Mtu apendwaye"
 
Kuna habari kuwa kuna ajali nyingine zimetokea hadi hivi sasa vyanzo vinadokeza watu 6 wamepoteza maisha.. stay tuned.....
Mkuu sawa, na nasikitika kwamba hii umeitoa kana kwamba unamkomoa mtu vile? Sasa tuwe tuned to hear what? More casualities?

hili wingu hili.. lazima lifikie kilele kwa kuondoka na mtu apendwaye au mashuhuri...
I feel pitty coz you too expect to get the unexpected! What is the reason(s) for you to say so? God forbid! Shetani hana nafasi!
 
So far what are the updates and why is it in siasa? Sijaelewa an too formal
 
Mkuu sawa, na nasikitika kwamba hii umeitoa kana kwamba unamkomoa mtu vile? Sasa tuwe tuned to hear what? More casualities?


I feel pitty coz you too expect to get the unexpected! What is the reason(s) for you to say so? God forbid! Shetani hana nafasi!

pole Pape.. hiyo "stay tuned" ni kosa langu; my original message ilikuwa imeishia hapo lakini nikaongeza mistari iliyofuatia bila ya kuondoa hilo. My bad.
 
.. stay tuned.. hili wingu hili.. lazima lifikie kilele kwa kuondoka na mtu apendwaye au mashuhuri...
.
MMKJJ, is it wishful thinking, yaani just imagining?
Au ni mind over matter kwenye mind suggestibility mtu apendwaye na mashuhuri achomoke?.
Is it precognition umeiona in your mind, au preamonition, unaitabiria iwe na itakuwa?.

Nasubiri kwa hamu update...thanks.
 
pole Pape.. hiyo "stay tuned" ni kosa langu; my original message ilikuwa imeishia hapo lakini nikaongeza mistari iliyofuatia bila ya kuondoa hilo. My bad.
You are forgiven! Nilikuwa nasoma ile thread ya watu wanaokuwa mstari wa mbele kupiga picha mbaya za marehemu wa ajali! Kidogo tu nikakutana na hii heh! Nikaishiwa nguvu! hata sielewi ni kitu gani kifanyke kuinusuru TZ!
 
Inasikitisha sana. Wakati umefika sasa kwa wananchi kuchukua hatua. Vyombo vya dola vimeshindwa. Na hii inaonyesha madhara ya rushwa kwa kiasi kikubwa yanawakuta wasiokuwa na hatia
 
Am worried that the 1st of April is approaching is this one of its 'mikesha' to welcome the date? Why piece of info with broken and data? Au ni moja ya nahau na tafsida zako maye be you just used the term 'ajali' reflecting something else? Please help
 
inasikitisha sana. Wakati umefika sasa kwa wananchi kuchukua hatua. Vyombo vya dola vimeshindwa. Na hii inaonyesha madhara ya rushwa kwa kiasi kikubwa yanawakuta wasiokuwa na hatia
mashoga, wasagaji, mamende wauawe. Hawana tofauti na wauaji wa ma albino!

***mafisadi & madereva wazembe!
 
jesus kristus!!siku ikipita bila kusikia ajali mtu unashukuru mungu yaani!!ooh tanzania i love u lkn mambo mengi yanayotokea tz yanajaza simanzi moyoni mwangu!
R.I.P ndugu mliotangulia!
 
.
MMKJJ, is it wishful thinking, yaani just imagining?
Au ni mind over matter kwenye mind suggestibility mtu apendwaye na mashuhuri achomoke?.
Is it precognition umeiona in your mind, au preamonition, unaitabiria iwe na itakuwa?.

Nasubiri kwa hamu update...thanks.

Niliandika hivi Feb 8:

sijui ni kitu gani lakini wiki hii imeanza vibaya.. naona kuna wingu la vifo ajali nyingine kubwa ya vyombo vya usafiri au msiba mzito. Tumwombe Mungu atuponye na kutuokoa. Bado kuna kiza juu ya nchi yetu.

Feb 4: niliandika hivi:

Nimeota ajali kubwa ya moto; sijui kama ni ofisi au mahali wanapoishi watu na sijui kama ni TZ au sehemu nyingine. Ila ni moto mkubwa kwa kweli.

Ilipofika Feb 9 kulikuwa na ajali za moto kubwa huko US, SA na moto wa jengo sijui la watu gani pale Dar..

Jan 19 niliandikia hivi:

Kuna kila dalili kuwa kabla ya mwisho wa mwezi wa tatu kunaweza kutokea ajali nyingine ya ndege lakini hiyo itakuwa ni ya kusababisha machozi. Tumwombe Mungu isitokee na aepushe na kunusurisha wengi zaidi kama siyo wote). Ni kiza.

By Feb 9 kulikuwa na ajali iliyoua huko Brazil, Feb 13 ajali ya ndege Buffalo NY, Feb 25 ajali ya ndege Uholanzi (watu 9 walikufa), March 10 ndege ya Ukraine huko Uganda imeanguka na kuua 11, by Mach 23 watu 17 wamekufakwenye ajali ya ndege huko Montana, US



...
 
Niliandika hivi Feb 8:



Feb 4: niliandika hivi:



Ilipofika Feb 9 kulikuwa na ajali za moto kubwa huko US, SA na moto wa jengo sijui la watu gani pale Dar..

Jan 19 niliandikia hivi:



By Feb 9 kulikuwa na ajali iliyoua huko Brazil, Feb 13 ajali ya ndege Buffalo NY, Feb 25 ajali ya ndege Uholanzi (watu 9 walikufa), March 10 ndege ya Ukraine huko Uganda imeanguka na kuua 11, by Mach 23 watu 17 wamekufakwenye ajali ya ndege huko Montana, US



...

So is this one of those dreams?
 
Hiyo ajali naomba iwe ya kisiasa isiwe ajali ya kun'goa roho za wapendwa wetu kwa kweli nimechoka na zimetuchosha.pls SIR GOD tuepushe na habari hii ambayo haina diteli za kutosha iishie hukohuko.
 
wakufawatakufa na wengine watabaki tu......tuombe mungu kwani serikali ime-prove ni irresponsible organ
 
MMKjj, asante kwa taarifa. Lakini mbona husemi hii ajali imetokea wapi? Ni Dar? Sehemu gani?
 
hizi ajali miaka nenda rudi zinatokea na zitaendelea kutokea kutokana na uzembe wa serikali yetu na madereva wetu.

haina haja ya kuwa na barabara za one lane kwenda mikoani huku pembeni ni pori tupu.wakati umefika hizi barabara zitanuliwe hili kuweza kuokoa maisha ya wananchi.tutakapo kuwa na barabara pana zenye zaidi ya lane moja sidhani kama dereva atakapo kuwa anajaribu ku-overtake gari nyingine atakutana uso uso kwa na gari linalo rudi.zaidi ya hapo serikali wawe wakali zaidi katika kuzibiti mwendo ikiwezekana kutolewee namba maalumu ambayo abiria wataweza kutuma ujumbe na kutoa taarifa kwamba bus waliopanda lina hatari maisha yao hili polisi alikuwa karibu na eneo la bus hilo waweze kulisimamisha.

madereva wapewe adhabu kali sana wasiofata sheria za barabarani sijui watafanya vipi kwa vile system nzima ni mbovu labda watoe tenda kwa kampuni yao ya majembe,manake kila kitu majembe majembe hii ni kuonesha wazi kwamba serikali imeshindwa kufanya kazi.

zaidi ya hapo sisi abiria inabidi tushirikiane kwenye hili swala,kama mtu umesafiri na uliona kwamba bus lilikuwa linaenda kasi mno au dereva anavunja sheria ambazo zina hatarisha maisha ya watu ni vizuri tukawaambia ndugu,jamaa na marafiki waepukane na bus hilo au peleka taarifa kwenye kituo cha habari hili jamii hiweze kupata taarifa.

haiwezekani tuwe tunapoteza ndugu zetu kwenye ajali miaka nenda rudi kutokana vitu vya kizembe.
 
Back
Top Bottom