Ajali Mgodini-mwamba umeanguka

RealMan

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
2,367
1,388
Wakuu kuna taarifa kwamba mwamba umefunika watanzania wenzetu mgodi wa Bulyankulu-Kahama. Mtu mmoja confirmed dead.

Wenye contacts na Kahama watusaidie taarifa zaidi maana mtu alonijuza yupo kwenye timu ya uokoaji hivyo hawezi kufanya mawili kwa wakati mmoja.
 
Poleni jamani, Mungu tunaomba unusuru roho za wachimbaji waliofunikwa.
 
ts tru guyz, kuna mtu mmoja amefariki after fall of ground which happened on saturday hapa BULY.
Jamaa anaitwa ARON MRUMBI.

MAY HIS SOUL REST IN ERTENAL PEACE.

AMEN
 
ts tru guyz, kuna mtu mmoja amefariki after fall of ground which happened on saturday hapa BULY.
Jamaa anaitwa ARON MRUMBI.

MAY HIS SOUL REST IN ERTENAL PEACE.

AMEN

Thats too bad.

Mungu awafariji ndugu wa Aron.
 
Back
Top Bottom