Ajali mbaya yatokea Iringa. Onyo usifungue kama una moyo mwepesi

Losambo

JF-Expert Member
Nov 8, 2011
2,612
864
Ajali mbaya imetokea mjini Iringa asubuhi hii na kusababisha vifo vya watu watatu papo hapo huku abiria waliokuwemo katika fuso wakinusurika katika ajali hiyo.

Ajali moja.JPG

Ajali mbili.JPG
Mwili wa dereva Taxi ukiwa bado kutolewa

Ajali tatu.JPG































Ubongo ukiwa umetapakaa eneo la ajali




Miili ya wafanyakazi wa barabara Iringa ambao walikufa katika ajali hiyo.


Chanzo cha ajali hakijawekwa wazi. Picha na habari zaidi
Mjengwa Blog::Habari,Picha,Matangazo
 

Attachments

  • Ajali nne.JPG
    Ajali nne.JPG
    55 KB · Views: 131
mungu atulinde , dah dah , inasikitisha sana , marehemu walale kwa amani , poleni ndugu zangu wa iringa
 
MoDs unganisheni uzi na ule wa CandidScope ambao umefunguliwa jukwaa la hoja na habari mchanganyiko.
 
Poleni sana wafiwa wote. Inaalilahi wainailaihi rajiuun.
 
Mungu zilaze pema peponi roho za marehemu wote.
Inasikitisha jamani!
Wahusika wamekuwa wamekaa tu kukusanya takwimu za ajali kila mwaka (zimepanda, zimeshuka) badala ya kutafuta ufumbuzi wa ajali zisitokee.
 
Ivi mnajua iringa kubwa ie Ludewa,mufindi,njombe,lupembe,makambako,kilolo,nyororo,mafinga,wangingombe,Igingilanyi,Kihesa kote uko ni Iringa assuming Njombe sio mkoa maana imekaa kisiasa zaidi.
Pls update us imetokea sehemu gani
 
Back
Top Bottom