Ajali mbaya ya Jet Fighter uwanja wa ndege Dar, tumempoteza kamanda mmoja

Gama

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
13,266
4,716
Kumetokea jali ya JET FIGHTER, ilikuwa katika mazoezi ya kawaida, ilipotaka kutua ikashindwa kusimama, rubani na msaidizi wake waka opt kuruka, wote walifanikiwa kuruka na viti vyao lakini mmoja parachute haikufunguka ili aweze ku-land safely, amepoteza maisha.

habari..,
Ndege ya kivita ya jwtz imepata ajali baada ya kushindwa kupata thrust(nguvu ya kuruka) leo hii pale 603 aka airwing.

Ndege hyo ilipangiwa safari ya kwenda ngerengere na ilikua na pilots wawili.., baada ya kushindwa kuruka mapilot waliamua wa-bail out(kuruka kwa miamvuli) mmoja parachute ilifunguka na aliangukia kwenye warehouse,, mwingine lilishindwa kufunguka na aliangukia kwenye lami moja kwa moja.., amefariki on the spot..,

kwa sasa mkuu wa majeshi anaelekea eneo la tukio..,

Nitawapa updates zaidi kadri ntakavyozipata..,

rip makamanda,,
Mungu ibariki tanzania,

Source: Moshe Dayan
 
Source; Moshe Dayan
 
kiukweli hatuwezi kwa sababu ya hawa mafsadi wetu na sidhani kama wanawekeza huko manake hata ya wananchi yamewash shinda
 
hata hivyo mabomu bado tunayo mengi tu sana sehemu zingine hata hivyo hayo yaliyolipika mbagala ni vibomu tu mibomu ipo bado.
 
Gama

Na kama nchi ikishindwa kulinda mipaka yake na raia wake ina cease kuwa a sovereign state...
 
Last edited by a moderator:
Aah! kwani Taifa stars inapokabidhiwaga bendera, si mnaambiwa watanzania tuwaombee, hata kama hawajafanya trial matches.

Subiri na wanajeshi nao mtaambiwa muwaombee, bila kujali wanasilaha au la.
 
MiG 21 made in the then USSR in 1954 flying in 2012! Awesome

800px-Mikoyan-Gurevich_MiG-21PF_USAF.jpg
 
RIP Kamanda! ila ajali kwa upande wa ndege za JWTZ limekuwa jambo la kuzoeleka sasa,rejea ajali za Arusha(Manyara) na Dodoma miaka miwili iliyopita!
 
Aaaaaaa hilo ni pengo haliwezi zibika leo wala kesho mpaka miaka ipite ndo tutampata mwingne mwenye uwezo kama wa huyu kamanda hayo mandege ndo wanazoa kwenye mafungu hela zinazobaki wanatia mfukon anayepata madhara ni mwingne kabisa..
 
Alazwe pema Kamanda.
Lakini ndege zenyewe zimejichokea ndio maana zinapata ajali.
 
Back
Top Bottom