Ajali Mbaya ya Boda boda Magomeni Morocco GRAPHIC IMAGES

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
527160_347491612006178_1540749532_n.jpg

Mashuhuda wanaseama, dereva wa Boda boda alikuwa anaenda mwendo mkali sana. Hali ndio hii wakuu. Pichani ni derava na abiria wake, R I P. Natanguliza pole kwa Ndugu na Jamaa wa wafiwa.
 
nilishaiweka hii ikatolewa haraka kwasababu sikutoa warning kwa watakaoifungua, hebu tuone na kwako
 
kwa kweli, kama hali imefikia hapa? hatujali maisha yetu wenyewe? basi tuna wakati mbaya kabisa kwa maisha ya mwanadamu.
nashindwa kusema Mungu awarehemu.
 
Hatari na hawa madereva wa boda boda wanachangia uzembe sana. Mungu wape busara ya kuelewa madhara ya uendeshaj mbovu.
 
kwa kweli, kama hali imefikia hapa? hatujali maisha yetu wenyewe? basi tuna wakati mbaya kabisa kwa maisha ya mwanadamu.
nashindwa kusema Mungu awarehemu.

Hii picha ya siku nyingi sana, af we mbuzi kwa nini unafanya mambo haya, huwezi kuwa hukujua! mi naona kama unaharibu jukwaa, labda kama ungepeleka chitchat.
 
...Great Thinkers!! Hii Picha Ilipostiwa kwenye Wall ya Member Muda Mrefu wa Wiki tatu zilizopita Kwenye Mtandao Kule 'Uso Kitabu' FaceBook! How can You Say Imetokea Leo Magomeni???:confused2::nono:
 
Hii picha imesunguka FB siku nyingi, sasa naona mmeileta na humu!
 
...Great Thinkers!! Hii Picha Ilipostiwa kwenye Wall ya Member Muda Mrefu wa Wiki tatu zilizopita Kwenye Mtandao Kule 'Uso Kitabu' FaceBook! How can You Say Imetokea Leo Magomeni???:confused2::nono:

Si wiki tatu, yan nimeiona picha hii zaidi ya mwaka umepita. Sasa mtu anakuja kusema imetokea leo Magomeni!! Bangi nyingine bana...
 
...Great Thinkers!! Hii Picha Ilipostiwa kwenye Wall ya Member Muda Mrefu wa Wiki tatu zilizopita Kwenye Mtandao Kule 'Uso Kitabu' FaceBook! How can You Say Imetokea Leo Magomeni???:confused2::nono:

Basi huyu Mbuzi atakuwa na matatizo!
 
Si wiki tatu, yan nimeiona picha hii zaidi ya mwaka umepita. Sasa mtu anakuja kusema imetokea leo Magomeni!! Bangi nyingine bana...

Atakuwa kachanganya na ugoro huyu.....hii ni aibu kabisa kitu ya mda mrefu afu mtu anakuja kudanganya humu!
 
Vyombo vya moto vinahitaji heshima ya hali ya juu,hawa madreva kama hawatakuwa makini wataishia ktk ajari kama hizi,napenda usafiri wa treni zaidi angalau unaweza ukisema ni usalama zaidi
 
Daaaah, JF imevamiwa na watoto, mtu kama huyu kwa akili zake timamu kaamua kuanzisha thread ili hali anajua kwamba ni ya uongo, tunaenda wapi wakuu???

Halafu inaonekana huyo huyo Mbuzi ndo huyo huyo Quimby_Joel aliye comment chini yake na kuji like.

Mods msipompiga ban huyu jamaa na accounts zake mbili, naombeni mnipige mimi, otherwise mimi na Mke wangu tunagoma.
 
Hii ndio sera ya Magamba ya kuongeza ajira kwa vijana kumbe ni ajenda ya kuwamaliza vijana kwa kuwa wanajua wakipata akili watawapa shida baadaye.
 
Mbuzi mzee acha uongo kama una chakufanya just log wikiliki ujisomee acha kuokoteza okoteza mapicha ya watu akajifanya umeona kwa macho!ajali hii imetokea tena nje ya Tanzania na sio leo wala jana acha hizo dogo
 
Hatari na hawa madereva wa boda boda wanachangia uzembe sana. Mungu wape busara ya kuelewa madhara ya uendeshaj mbovu.

Na sisi abiria ni watumbafu tu!

Inakuwaje jamaa unamwzchia anaenda speed 100 wewe upo tu? Kwa nini usimpe masharti kabla hujaanza safari? Mimi huwa nashangaa unamwona jamaa anaendeshwa kwenye pikipiki kama taahira vile. Na sisi tutaisha tumb..ff zetu!!
 
Back
Top Bottom