Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,884
- 6,885
- Picha ya kwanza Polisi amebeba kichwa cha mwanamke aliyekuwa mja mzito na kufa papo hapo kwa kiwiliwili kutenganishwa na kichwa ajali iliyotokea huko barabara ya Mandela iliyosababishwa na lori la mafuta.
- Picha ya pili na tatu magari ambayo yaliharibiwa na lori la mafuta lililosababisha ajali huko Ubunge barabara ya mndela.