Ajali mbaya tena mbaya mataa ya ubungo...

Greater thinker

JF-Expert Member
Sep 12, 2011
286
38
Ni ajali ya kutisha imetokea sasa hivi kati ya fuso na bajaji,fuso lipo meng'e meng'e dereva na watu wawili wamepoteza maisha,ila bajaji imevunjika taa tu yoo
 
Ni ajali ya kutisha imetokea sasa hivi kati ya fuso na bajaji,fuso lipo meng'e meng'e dereva na watu wawili wamepoteza maisha,ila bajaji imevunjika taa tu.

Hilo fuso liingia mtaroni nini? Kama upo eneo ajali ilipotokea weka picha basi.
 
maeneo gani mbona umecharuka hivyo?watu wangapi wamepona wangapi wamekufa?
 
Ni ajali ya kutisha imetokea sasa hivi kati ya fuso na bajaji,fuso lipo meng'e meng'e dereva na watu wawili wamepoteza maisha,ila bajaji imevunjika taa tu yoo

Siku nyingine ukikosa usingizi kunywa Valium utalala tu, sio kuja kutupumzikia hapa!
 
Inaonekana mvua iliyonyesha jana imekudatisha wewe+ ulivyo haha juu ya paa lenu. I think umeranduka, kunywa azam colla ya baridi may be ukapata usingizi.
 
Yo ipo poa ila wale watu unaosema wamekufa bado wapo hai ila walikuwa wana hojiwa na waandishi.mmoja anasema yeye ni mzima kabisa ila alipata shock baada ya kugundua kwamba ajari imesababisha upotevu wa kipisi cha bhange alicho kuwa kakihifadhi ndan ya mfuko wa koti lake.
 
Naweka utani pembeni,mimi nimewahi kushuhudia mzinga bajaj vs Mark 2.Mark II iliharibika vibaya sana maeneo ya mbele wakati bajaj ilianguka tu pembeni na kupasuka taa moja ya mbele.
 
teh teh teh teh teeeh, hata aliyelipoti alikuwa kwenye ajali tena kwenye fuso hivi sasa analipoti kutoka kuzimu. Haaaah haaaaaah haaaaah!
 
Watu hebu acheni kuwa serious kama vile mpo kwenye jukwaa la siasa au mpo kwenye jukwaa la katiba.

Hazmuoni kama ameweka kwenye jukwaa la utani na at the end of the day post hiyo ni utani?

Kabla hamjakurupuka kuponda post za watu angalia kwanza upo jukwaa gani.
 
Back
Top Bottom