ajali mbaya tegeta

Lady G

JF-Expert Member
Dec 13, 2010
515
130
jamani, napita hapa tegeta kuna ajali mbaya imetokea, inasemekana watu 5 wamepoteza maisha hapo2, lori la mchanga limegonga sehemu ya baa na kuua. Mwenye habari zaidi tafadhali.
 
Back
Top Bottom